Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Me huwa natafuta sana mtaji niingie kwenye kubet ni basi tu mipango inakataa hata hela ninayopata kwa kufanya vibarua vya deiwaka inaishia kwenye mahitaji muhimu tu bila kuwa na akiba yoyote kwaiyo nikibet stake zangu ndio buku ikizidi sana buku 5. Lakini ningekua na mtaji wa kuanzia laki mbili hivi kama hao watu wa forex mchongo wa kubet ungeshanitoa kimaisha.Forex na betting Ni yale Yale ,Tena kama unafanya analysis na kufuatilia game , betting Ni rahisi mno na unapiga pesa ,Tena Kwa hizo mitaji zenu za forex ukiingia nazo betting unapiga pesa mpaka unaona maisha Ni rahisi ....imagine una mtaji WA $50 sawa na 125,000,,,kwenye betting huo Ni mtaji mkubwa mno ...