Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
yap saikolojia sahihi ndio key ya mafanikioKifupi kwenye forex hisia na greed zikae pembeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap saikolojia sahihi ndio key ya mafanikioKifupi kwenye forex hisia na greed zikae pembeni.
Mpe Astonvila mazimaaaNataka kuanza kubeti muongozo wenu tafadhari
Jioni hii nimebutua laki 8 nimejaza laki 2 mafuta na kununua luku laki 3.... Iliyobak laki 3 nabet tenaWakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
Ikisha unafanya maamuzi hasa kwa kuweka odd chche , chagua kampun yenye bonus ,la mwiaho epuka kununua mikeka kwa mtu ,hakuna master betting ....kikubwa kuwa na source zaidi ya nne zitazokufanya upate anaylsis njemaNataka kuanza kubeti muongozo wenu tafadhari
Chai nzito hii tena ya maziwaana youtube channel huyu anasema alichoma 600
Tickmill piaBroker pekee ambaye kwa Sasa unaweza kutrade na kutoa pesa zako kupitia M-PESA ni Deriv tu , wanamazingira mazuri Sana ya kukuwezesha kudeposit na kuwithdraw kwa M-PESA kuliko broker yoyote .
Kingine pia hauhitaj Hadi uverify account yako , ukishaweka Jina Lako Email na namba ya Simu unaanza kutrade Kama kawaida, Kama unahangaika kupata link nimekuwekea hapa chini
Trade forex, stocks, crypto, gold and commodities | Deriv
Award-winning online broker, rated excellent on Trustpilot. Sign up for a demo trading account to trade forex, stocks, and other financial markets.bit.ly
Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
upo sahihi lakini kosa kubwa ambalo noobies wanalifanya ni kudhan ya kwamba forex is get rich quick schem kitu ambacho sio kbs, wengine hudhan betting na forex ni sawa jamb ambal si sawa, ni kutokua na maarifa na taarifa sahihi juu ya biashara hizi 2 bothy forex trading & cryptocurrency trading, huenda uliipenda biashara lakin haukuekeza kwenye maarif yanayo jitosheleza, pia huenda ulihitaj zaid matokeo bila kufanya kile kinacho hitajika kuyapata matokeo hayo,Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
Hata maisha ni kubahatisha ndio maana kabla ya kulala unaomba ulale salama.Sasa betting yenyewe ni kubahatisha naachaje kuamini kuna bahati mkuu ndugu yangu?
HakikaNimechek sana ila nikweli usemach kua hata maisha nikubahatisha.yan kitendo chakuto kua nauhakika nini kitafuata mdafulan au kutokea nikubahatisha tuu.
Kupanga n kuchagua, zakuambiwa changanya na zako.Hata maisha ni kubahatisha ndio maana kabla ya kulala unaomba ulale salama.
Unafikiri leo watu wote wameamka salama?
Nasemaje???
Wa kubet abet
Wa forex naye aforexike
NakubaliNilishakula 10m ,ila ni kazi kula