Umebutua shilingi ngapi Betting/Forex?

Me huwa natafuta sana mtaji niingie kwenye kubet ni basi tu mipango inakataa hata hela ninayopata kwa kufanya vibarua vya deiwaka inaishia kwenye mahitaji muhimu tu bila kuwa na akiba yoyote kwaiyo nikibet stake zangu ndio buku ikizidi sana buku 5. Lakini ningekua na mtaji wa kuanzia laki mbili hivi kama hao watu wa forex mchongo wa kubet ungeshanitoa kimaisha.
 
Forex hutakiwi kuwa na mihemko lazima ukimbie..

Akili yako ikikaa sawa forex ni rahisi. Kigumu mind set tu ndiyo mtihani uliowashinda wengi..

Forex hutakiwi uwe na uhitaji wa pesa za papo kwa papo itakufilisi kwa ku force trades.
 
Kuna watu forex wanasoma week moja AF wanataka kutrade mtaliwa vichwa mpk mapumbu forex inataka watu wanaojielewa kiakili na wenye knowledge ya kutosha Incase naish kwasabab ya forex na kazi bado nafanya usiniulize kwanin sijaacha kazi
kwa sababu forex bila kipato kingine cha pembeni ni mtihani mgumu because it can't give you daily income
 
Anza na kujifunza
 
Bora Ubet Mara 100, Forex ni pure Scam.
 
Trading is business and not a lottery
 
Acha kufananisha forex na utumbo wa ajabu, kuisoma forex mpaka kuielewa na kuimudu sio kitu kirahisi na ninakuhakikishia kuielewa forex ni ngumu zaidi ya degree nyingi za bongo.
betting haihitaji kusoma chochote ni kufuatilia mpira tu nakubashiri matokeo hata darasa la saba failure wanabet na wanapiga hela.
Ila forex ukianza kujifunza ukiwa form six utaielewa na kuimudu baada ya kumaliza chuo ambapo akili itakuwa imepanuka na uelewa umeongezeka mihemko imepungua na macho yamefunguka kuwa forex is not get rich quick scheme bali ni your lifetime daily job or side hustle.
Kujipima kuwa umepata faida gani kwenye forex ni at least miezi mitatu mpaka mwaka mzima wa kutrade daily, wengi wanakimbilia betting kwa sababu haihitaji kutumia akili bali ni kuzijua team tu na uwezo wake, kushindwa kuielewa forex kusiwafanye mjifariji kuifananisha na betting.
Forex ni game ya magenius wanaoelewa soko la fedha linavyofanya kazi, na uchumi wa dunia unavyoenda, usifananishe na simba na yanga nani atashinda hiyo hata muuza kahawa anaweza.
 
Wewe jamaa unaleta ujuaji sana wanzako walikua ivyoivyo km ww ila baada ya kupigwa vibaya na forex wamerud wapole kwa iyo na ww ni suala la muda tu.
 
Wewe jamaa unaleta ujuaji sana wanzako walikua ivyoivyo km ww ila baada ya kupigwa vibaya na forex wamerud wapole kwa iyo na ww ni suala la muda tu.
mdogo wangu sijisifu najua ila nakuelekeza kwamba hujui chochote kuhusu forex, hao wanaopigwa wana akili kama zako wanafanya gambling kwenye game ya maprofessional
Forex sio kwa ajili ya kila mtu ni wachache tu ndo wanaweza kama huwezi kaa pembeni usilete blahblah
 
Kuliko ufanye forex, ni mara mia usuke mkeka!, karibu tulisongeshe mikekani!

Forex is not for the weak!
Forex inahitaji elimu ya uchumi na mambo ya fedha, tena uwe deep haswa!

Kama naongopa, haya!... Kapige ramli kwenye forex... mliwaita wakina ONTARIO MATAPELI... Kumbe ni nyinyi wenyewe
 
Kifupi kwenye forex hisia na greed zikae pembeni.
 
Unajidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…