Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
upo sahihi lakini kosa kubwa ambalo noobies wanalifanya ni kudhan ya kwamba forex is get rich quick schem kitu ambacho sio kbs, wengine hudhan betting na forex ni sawa jamb ambal si sawa, ni kutokua na maarifa na taarifa sahihi juu ya biashara hizi 2 bothy forex trading & cryptocurrency trading, huenda uliipenda biashara lakin haukuekeza kwenye maarif yanayo jitosheleza, pia huenda ulihitaj zaid matokeo bila kufanya kile kinacho hitajika kuyapata matokeo hayo,
.
kua trader since 2016 hakukupi uhalali wa ku win hii biashara wat matters ni una maarifa kiasi gan juu yahii biashar, matokeo yapo baina ya nini unajua vs nini haujui, soko litakupa matokeo based on izo two things, huez kua na matokeo mazuri kama huna maarifa sahihi ya fx Trading, haijalishi uta trade miaka mingap
.
Utofaut wa betting na fx Trading ni nin..!? ukiachana na utofaut wa maana tu za majina yao pia hauhitaji elimu kujua kubeti, that's why hakuna sure odds haijalishi ni odds 10000 au 1 hakuna mweny uhakika kbs, that's why ukiona mtu ananunua odds ujue akili hana au haelewi anacho kifanya, unapokuja kweny fx, yenyew huez fanya chochote kama hujapewa elim inafanyaje kazi, wahusika ni akina nani, unatakiw to understand market language, structures na kila kitu juu mtu akikutumia chart akakuambia GBPUSD ina BUY/SELL kama unajua then ukitazam analysis utaelew exactly kwamba kwann itafanya ivo,
..
kikubwa ekeza zaid kweny maarifa, in a long run utakua sehem sahih, na pia usisahau this is not a get rich quick scheme