Umeelewaje katuni hii Mdau?

Umeelewaje katuni hii Mdau?

JF Toons

Digital Art by JF
Joined
Feb 19, 2024
Posts
33
Reaction score
73
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?

mdauu.PNG
 
Tunatengeneza tatizo hili leo kesho tunalitatua.

Mfano ni issue ya kikokotoo hii issue wabunge waliitengeneza lakini naamini siku ya Mei Mosi inaenda kutolewa na rais na tutampigia makofi mengi.

Kumbe jambo lilitengenezwa ili baadaye mtu aje ajichukulie point 3 muhimu.
 
Mfano ni issue ya kikokotoo hii issue wabunge waliitengeneza lakini naamini siku ya Mei Mosi inaenda kutolewa na rais na tutampigia makofi mengi.
Wabunge wameishupalia ili kuzima issue ya wao kulipwa 18 M kwa mwezi
 
Wabunge walitengeneza bomu la kikokotoo nasasa wanaojidai wanalitegua huku wakilipwa posho kubwa kujadili "UJINGA" waliouleta wao!!
Zaidi ya masuti na jengo zuri na kugonga meza sioni nalisifu bunge Kwa kipi kingine. Baraza la mawaziri lingetosha kuleta mawazo chanya na tubakiwe na vikao vya madiwani katika kupendekeza hoja.
  • Bunge limefeli kikokotoo
  • Limefeli katiba MPYA
  • Limefeli demokrasia ya vyama
  • Limefeli kujadili ripoti CAG
  • Limefeli Kwa kumsifu tuu SSH
  • Limefeli uchaguzi huru
  • Limefeli Sheria ya madawa
  • Limefeli elimu mbovu hadileo
  • Limefeli muungano Bora
  • Limefeli ajira za vijana
  • Limefeli uchaguzi huru
  • Limefeli Dodoma kuwa jiji Bora
  • Limefeli kuzuia teuzi za kujuana
  • Limefeli sera kilimo/ufugaji/uvuvi
  • Limefeli nishati kuwa nafuu
  • Limefeli kuhusu madini kutunufaisha
Tz tuna bunge duni na dhaifu mmno, Afrika mashariki na pengine Afrika nzima wametuzidii kwakuwa na wabunge MAHIRI.
 
Back
Top Bottom