Umeelewaje katuni hii Mdau?

Umeelewaje katuni hii Mdau?

Wabunge walitengeneza bomu la kikokotoo nasasa wanaojidai wanalitegua huku wakilipwa posho kubwa kujadili "UJINGA" waliouleta wao!!
Zaidi ya masuti na jengo zuri na kugonga meza sioni nalisifu bunge Kwa kipi kingine. Baraza la mawaziri lingetosha kuleta mawazo chanya na tubakiwe na vikao vya madiwani katika kupendekeza hoja.
  • Bunge limefeli kikokotoo
  • Limefeli katiba MPYA
  • Limefeli demokrasia ya vyama
  • Limefeli kujadili ripoti CAG
  • Limefeli Kwa kumsifu tuu SSH
  • Limefeli uchaguzi huru
  • Limefeli Sheria ya madawa
  • Limefeli elimu mbovu hadileo
  • Limefeli muungano Bora
  • Limefeli ajira za vijana
  • Limefeli uchaguzi huru
  • Limefeli Dodoma kuwa jiji Bora
  • Limefeli kuzuia teuzi za kujuana
  • Limefeli sera kilimo/ufugaji/uvuvi
  • Limefeli nishati kuwa nafuu
  • Limefeli kuhusu madini kutunufaisha
Tz tuna bunge duni na dhaifu mmno, Afrika mashariki na pengine Afrika nzima wametuzidii kwakuwa na mabunge MAHIRI.
Naunga mkono hoja
 
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?

Inahusu kikokotoo ambacho bunge ilikipitisha kwa mbwembwe zote, leo bunge hilohilo linakipinga na kujufanya hawajui nani alikipitisha!
Bunge litakibadilisha na bunge hilohilo litapiga makofi kwa shangwe na kumsifu mama kwa kuwa msikivu na kuwajali wananchi!
 
Apo ni udanganyifu tuu katika taasisi wanatengeneza njama za kuhujumu ili wapate faida
 
Back
Top Bottom