Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Mambo ni vipi?

Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi

Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.

Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.

Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.

Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].

Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top. Yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
 
Ilala dada zetu too much washafanya miili yao ndo kitega uchumi chao, yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
Sorry, wewe ni mwanaume au ni wa kiume?? No free lunch, ukiona Wanaume wako na manzi halafu kuna vidume vinakodoa macho usidhani kuwa ni rahisi
 
Mie Kuna mmoja aliniambia Kama nakuja price yangu ni 50k.yaani sikutegemea Kama angeniuzia ,yaani nikafuta namba yake papo kwa papo.

Ila inaonekana huyo demu hakupendi mkuu. Huwa naamini kuwa anayekupenda haombi kitu anasubiria ujiongeze mwenyewe.pia huyo ukienda naye hautaenjoi Mana kukupa Ile high romance hutopata.
Namie huwa napenda Sana romance sana.
 
Kwani Mkuu ulidhani upo ughaibuni? Kwamba mkitoka out, everyone will clear his/her bill?

Hapa ni bongo Boss.. Utalipa bill zote, utaenda mtalalana na hela utampa. Still atakuambia sina hela ya nauli ya kurudi, huku tayari umeshampa 100k. 😂😂😂
 
Mie Kuna mmoja aliniambia Kama nakuja price yangu ni 50k.yaani sikutegemea Kama angeniuzia ,yaani nikafuta namba yake papo kwa papo.
Ila inaonekana huyo demu hakupendi mkuu. Huwa naamini kuwa anayekupenda haombi kitu anasubiria ujiongeze mwenyewe.pia huyo ukienda naye hautaenjoi Mana kukupa Ile high romance hutopata.
Namie huwa napenda Sana romance sana

Mkuu huyu hta bure ningekula sema hakua kwenye ratiba zangu
 
Mambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..

Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.
Duuh shida kwel yaani.200K
 
haha mim nawatorokaga tu lodge naamka saa kumi na moja au kumi alfajiri. akiamka anakuta ten tu ya nauli juu ya meza.

Oyaaa sikuhz wanataka before yan unampa cash anakupa mchongo, kutuma kwa simu hawataki. Na mshikaj wangu alipata dem maison pale toto shombe kali wakakubaliana 150k jamaa akawa hana cash akamwambia nakutumia kwa simu. Huwezi amini dada aligoma akasema kama hana cash bhs, ikabd jamaa aende nae atm akadraw ndo kumpa.
 
Sasa Mkuu ulishindwa nini? Bill 350k, then 100k ikupige chenga tena kwa Mbunye utakayoikeshea??

Usimjaribu tena mtoto wa watu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wa chuo wanauza sana Mbunye japo hawajipangi barabarani.

Mkuu sikua na ratiba hio ila hata bure ningekula[emoji23][emoji23]
 
Kuna mwenzio anamla bure huyo tena anaipeleka mwenyewe. Na hapo baada kukuacha na majuto yako kampelekea mtu bure huko kitaa!

Nakubali mkuu kuna fala anakula bure. Ila niliweka heshima sahv daily ananicheki afu sina muda nae sasa
 
Back
Top Bottom