Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

Nimegundua kamanda wa Geshi la Gambosh hana baya na mtu kabisaaaa
ni mwendo wa vyuku vya kukaanga na balimi za baridi!
 
Wanajeshi wa nchi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.

UMEGUNDUA NINI KWENYE HII PICHA?
View attachment 2872131
Dah hii picha ya cku nyingi ila management ya jeshi inatakiwa kuwa makini sana, huyo mkulu na kitambi chake hata kama kazi yake ni oficn tu still mwili wake ni reflection ya jeshi letu kimataifa maana ye ni mmoja wa mabosi wa jeshi na hapo kaliwakilisha jeshi la wananchi.Kimsingi kuwa na tumbo kubwa hvyo ni dalili ya uvivu,ulafi,kutokuwa na afya,ubinafsi.Jeshi lina watu wengi wenye miili mizuri wangeweza wakilisha.
 
Nyie mnaombeza mwanajeshi wa Tz
Kwani mlitaka asinenepe?


Kwanza hadi kufika hiyo nafasi aliyopo ameshapambana vya kutosha na yupo ngangari.

Nyie kama mnamuona mayai basi jichanganyeni muone anavyowabomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaombeza mwanajeshi wa Tz
Kwani mlitaka asinenepe?


Kwanza hadi kufika hiyo nafasi aliyopo ameshapambana vya kutosha na yupo ngangari.

Nyie kama mnamuona mayai basi jichanganyeni muone anavyowabomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona makasiriko... unamjua mshua nn?
Amejiachia sn bn co poa
 
Kwa sababu ya amani Hawa wa kwetu unaweza ukaajiliwa Hadi unastaafu ujawahi hata fyatua risasi Moja hivyo ni lazima wawe na vitambi
 
Mwanajeshi unakuwaje na kitambi hivyo!! Ni kuikosea heshima sare ya jeshi.
 
Back
Top Bottom