Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

Nchi inajiendea tu kama gar bovu aisee hivi mwanajeshi unapata wap mda wa kunenepa
Sio kwamba ni Mbinu za medani ndizo muhimu...au?
Kwa kuwa upiganaji wa leo sio ule wa kukimbia kimbia....ni kutumia maarifa na technologia za kisasa kwenye uwanja wa vita.
Vita vya Uchumi sio lazima wapiganaji wake wawe slims,,ingelikuwa hivyo majirani zetu kaskazini-magharibi wangeliwa mbali sana sana..
 
sasa vita ni akili ndugu, majuguru na mitulinga haina nafasi
 
Back
Top Bottom