Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Yaani tofauti kabisa
Ndiyo hivyo, hakuna marefu yasiyo na ncha.Niliupenda uzangazaji wake! Hongera mwana mama kwa kazi nzuri uliyoitumikia DW..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
View attachment 1348805
Ana sauti ya ubabe ni kama sauti za wavuta bob marleyUmeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
View attachment 1348805
Wewe apumzike kwa amani tena! Kwani amedied?Alikua anatangaza vizuri sana hasa matamshi yake hachoshi kumsikiliza. Apumzike kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkanganyikoSasa mbona DW wenyewe kupitia instagram wameandika ameitumikia dw kwa miaka 42? Sasa kama kaanza kazi na dw mwaka 1988 ndo miaka 42 imetimia kweli hapo?🤔
Mleta uzi amekosea,ni kwama Bi Umilkheir alianza kutangaza DW 1978. Amehudumu kwa miaka 42Sasa mbona DW wenyewe kupitia instagram wameandika ameitumikia dw kwa miaka 42? Sasa kama kaanza kazi na dw mwaka 1988 ndo miaka 42 imetimia kweli hapo?🤔
Mtoa mada kasema Comoro wewe unasema Morocco nani mkweli?