Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.

Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.

View attachment 1348805
Ilinichukua miaka mingi sana kuja kugundua jinsia halisi ya huyu mtangazaji. Maana kupitia sauti yake, nilishindwa kabisa kufahamu kama ni mwanamke, au ni mwanaume.
 
Acha urongo,huyu ni raia wa Comoro,Wacomoro wanaongea Kiswahili japo ni kama kiswahili cha kinyume,hapa Tanzania hasa sehemu za mwambao na Zanzibar wapo wengi sana,na wengi wao wameshika nyadhifa kubwa kubwa za kitaifa na kidini
Uko sahihi, Comoro wanabonga kiswahili fresh kabisa kama wazenji tu..
 
Saa saba kamili ushatune dw

Ova
Ilinipa uelewa wa mambo mengi sana kuhusu Dunia inavyoenda.

Jioni nilikua naanza na Channel Afrika, ikifika kumi na mbili naenda DW, kumi na mbili na nusu nazungukia BBC namalizia na VoA.

Ukija mjini tutafutane mtaalam
 
Kabisa mkuu

Poa poa

Ova
 
Back
Top Bottom