Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

Nilijuaga ni mwanaume kwa sauti yake ilivyo..kumbe ni mwanamke..
Ana sauti fln hiv ya utangazaji inayovutia usikilizaji
 
SAA saba za mchana ktkt kutangaza kwakwe Mara nyingi maneno kama kihafudhina,Bi Angela Merkel,mrengo. Kisoviet ,hayakumtoka au yalikuwepo kwenye script yake I'm gonna miss her sana tu
...

Mzee Lulu za Uru East au West mzee!?
 
Apumzike kwa amani. Tutamkubumka kwa mengi hususwan ladha ya sauti yake.
 
Kuna mtangazaji mwingine wa dw alistaafu anaitwa othman miraji alistaafu miaka nane iliopita kama sikosei wanaomfahamu huyu ebu wamuelezee nae nilikua namsikiliza san wakat ni mdog enz izo
 
Back
Top Bottom