Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
View attachment 1348805
Alikua anapenda kusema "Kansela wa ujerumani bi Angela Merkel"SAA saba za mchana ktkt kutangaza kwakwe Mara nyingi maneno kama kihafudhina,Bi Angela Merkel,mrengo. Kisoviet ,hayakumtoka au yalikuwepo kwenye script yake I'm gonna miss her sana tu
...
SAA saba za mchana ktkt kutangaza kwakwe Mara nyingi maneno kama kihafudhina,Bi Angela Merkel,mrengo. Kisoviet ,hayakumtoka au yalikuwepo kwenye script yake I'm gonna miss her sana tu
...
Apumzike tena acha zakoApumzike kwa amani. Tutamkubumka kwa mengi hususwan ladha ya sauti yake.
Acha urongo,huyu ni raia wa Comoro,Wacomoro wanaongea Kiswahili japo ni kama kiswahili cha kinyume,hapa Tanzania hasa sehemu za mwambao na Zanzibar wapo wengi sana,na wengi wao wameshika nyadhifa kubwa kubwa za kitaifa na kidini
ComoroRaia wa nchi gani?
Mm nilijua mtu wa zanzibarUmeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
View attachment 1348805
Wanasema alianza kazi dw mwaka 1974 ila kua mtangazaji alianza 1978Sasa mbona DW wenyewe kupitia instagram wameandika ameitumikia dw kwa miaka 42? Sasa kama kaanza kazi na dw mwaka 1988 ndo miaka 42 imetimia kweli hapo?🤔
SAA saba za mchana ktkt kutangaza kwakwe Mara nyingi maneno kama kihafudhina,Bi Angela Merkel,mrengo. Kisoviet ,hayakumtoka au yalikuwepo kwenye script yake I'm gonna miss her sana tu
...
Ata mm nilihis ivokila siku nilidhani kheir ni mwanaume. Nimeshanagaa. sauti yake ilikuwa kama mwanaume
Wasafi TV wamchukue aje kuwasaidia kwenye uchambuzi wa habariUmeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
View attachment 1348805