Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

Kwa usahihi jina lake la kwanza linaandikwa Oummilkheir. La pili ni Hamidou. Mimi ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii kupitia DW hususan katika kipindi cha Maoni kwenye Meza ya Duara. Nasikika mara nyingi. Kwahiyo namjua vizuri.

Aidha, alianza kazi DW 1978, na si 1988. Kwahiyo ametumikia rekodi ya pekee kwa miaka 42, akimzidi Ramadhani Ali aliyetumikia miaka 41. Huo ndio usahihi!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Sumbawanga. Wewe uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana,hua nakusikia mala nyingi DW hongera sana,hivi wachambuzi hulipwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Mchambuzi, huwa nakusikia sana Mkuu huko DW.
 
Nashauri anza kutoa makala ya uchambuzi magazetini. Peleka nakala zako kwenye vyombo vingine vya habari kama redio na tv. Pia toa maoni yako kwenye mitandao ya kijamii.

Wenye vyombo husika wakiridhika na uchambuzi wa hoja zako, naamini wataanza kukuita. Kadri utakavyokuwa unasikika na kusomwa magazetini ndivyo itakavyokuwa rahisi kutambuliwa zaidi na vyombo vya ndani na nje ya nchi endapo hoja zako zitakuwa na mantiki, tija na bora
Binafsi napenda uchambuzi, nitafanyeje nijulikane na nipate mialiko kupitia media?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaanza kazi pale dw Feb 1979.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…