Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa tulioko mbali unatusaidiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah[emoji23][emoji23] Nitaleta mrejesho wa picha za mahanjumati pamoja na mserebuko wa muziki baada ya sikukuu kwenye huu uzi, nitaambatanishaKwa tulioko mbali unatusaidiaje?
ha ha ha picha haisaidii; tuma na yakutolea na sisi tukamate ata kukuDah[emoji23][emoji23] Nitaleta mrejesho wa picha za mahanjumati pamoja na mserebuko wa muziki baada ya sikukuu kwenye huu uzi, nitaambatanisha
Ahahah, mjini mipango mkuu[emoji2]ha ha ha picha haisaidii; tuma na yakutolea na sisi tukamate ata kuku
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke tu, hakuna namnaChai
Aisee "mama anaupiga mwingi"[emoji23][emoji23]Nitakuwa kwa mama ntakula kilichopikwa
Na kweli mkuu, usisahau kuwaalika majirani hata kama utapika ugali kwa maharageMaandalizi yangu ni kula na kunywa tu! Haijalishi hela natoa wapi?
Mimi ntakua nakula dona na kuku mzimaUnakaribishwa kwa bashasha kubwa mkuu
Mzee wa kula kimasiharaKaribu Bibie, hata ukitaka VIP haitokuwa na shida, VIP itafanyikia Chumbani kwangu, kitanda kitakuwa na maua maua. Mke wangu atakuwa sebureni akiumwagilia moyo
Hongera sana mkuu, Mungu akutangulie kwa kweliNimeuza kipand changu cha ardhi milion moja nitatumia kias cha laki tu ktk xmass na mwaka mpya no pombe no mademu
Bint angu atafalishwa elf 35 tu
Aisee, na kweli mkuu. Ngoja nifanye maandalizi ya shule ya wanangu haraka sana iwezekanavyoBila kusahau January Ada,
Siku hizi,
mwaka ni kama mwezi,
Mwezi ni kama wiki,
Wiki ni kama siku,
Siku ni kama lisaa,
Lissa ni kama dakika,
Na dakika ni kama sekunde.
Mkuu, utakuwa huwatendei vyema wanao. Cha mtume ni kitu muhimu sana kwenye siku kama hizo. Wanao watashinda kwenye majumba ya watu. Shauri yakoMimi ntakua nakula dona na kuku mzimaView attachment 2438922
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndo hivyo mkuu, neema huja na matukio. Huenda maandalizi yangu ya mbuzi jike yakaniletea matunda ya kuchakata binti wa watu kimasihara. Nikapata na utelezi hivi hivi
Yeah fanya hivyo,utakula xmas bila stress,Aisee, na kweli mkuu. Ngoja nifanye maandalizi ya shule ya wanangu haraka sana iwezekanavyo