Umejiandaa vipi na sikukuu za X Mass na Mwaka Mpya 2022 - 2023?

Yeah fanya hivyo,utakula xmas bila stress,
Kabisa, isije kufika January, majirani wakaanza kunichekelea pembeni. Aloo, watasahau hata kama walikula mbuzi kwangu[emoji1787][emoji1787]

Nisije kugeuka kikomo cha mgegedo, yaani ile situation wapendanao wanamaliza kugegedana tayari kwa kulala, tule tu maneno twa kusindikizia usingizi sasa,"Tulikula mbuzi kwake, ila wanae wanakwenda shule na uniform zikiwa zimechanika".
 
Ooh, nilisahau kukualika trudie kwenye hafla ya sikukuu za krismas na mwaka mpya kwangu. Nitakuandalia spesho siti chumbani kwangu🤸🤸

Karibu sana
 
Sikukuuu za mwisho wa mwaka ni za watoto weee kidume mkuu unajitutumua ku sherehekea mhhhhh
 
Usisahu kuleta nyama chit chat tuzitafune,January nitakuwa mdhamin wako utakapoenda kukopa.
 
Nimejiandaa vizuri sana, mwaka unanishia vizuri sana...
 
Nmejiandaa hivi, Kulipa kodi, kulipia BIMA, kumnunulia mtoto angu viwalo 6 vya sikukuu zote mbili, kuandaa vifaa vya shule vya baby class, kuandaa chakula cha mwakani, maandalizi bado mambo kadha wa kadha
 
Kama kuna mtu anahitaji nyimbo za Krismasi au albam yeyote ya nyimbo za Krismasi namkaribisha PM
 
Kitimoto wanaleta dhihaka kwenye mambo yetuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…