Yaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama hayaUmasikini upigwe vita sana.
Dada zetu wangekuwa na uwezo wasingesimangwa hivi kila siku.
Sio lazima uolewe..
Na ndio hapo mnachagua vibayamsitutishe kupanga ni kuchagua
Hawa ni category nyingine.Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?
Hahaaaaaa......eti KengeKuna Starehe na kuharib fyucha yk
Hz kenge huwa hazielewagi somo
Aisee bora tu uitoe.Yaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama haya
Mkuu mbona unaleta fujo kwa kukebehi watu? Tuwashauri na kuwaelekeza hao waliokwisha haribu hakuna ku reverse ila hawa ambao bado tuwape hii Elimu.Poleni poleni poleni,single maza poleni,kwa ujinga wenu poleni,kuzaa nje ya ndoa poleni,komandokomando kichupi single mazafaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaona ni Cha-wote
Mtaa upi huo wasiokuwa na akili?Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??
Aisee bora tu uitoe.
Huku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,Mtaa upi huo wasiokuwa na akili?
Hii ipo siku hizi sehemu nyingi..... Na inatokea sana kwenye familia masikini ambapo mtoto anadanga anapata pesa analeta Mkate nyumbani......hivyo Mtoto ndio anakuwa Baba au Mama wa familia hakuna wa kumsema.Huku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,
Lkn niseme tu waacheni wazae.
Kiasi fulani katika jamii wanakuwa na kinga fulani ,angalau hata ukweni wanatambulika na watoto wanapata sapot. Linapokuja suala la kurithi vitu vya mzee wake hakuna doubts zozote anarithi tena fresh....Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?
Mbaya mnoKiasi fulani katika jamii wanakuwa na kinga fulani ,angalau hata ukweni wanatambulika na watoto wanapata sapot. Linapokuja suala la kurithi vitu vya mzee wake hakuna doubts zozote anarithi tena fresh....
Ila wahuni hawa hata mke hajajifungua kashakimbia...Single mother bila ya kuolewa ni mbaya sana tena sana.
Imekuwa ni jambo la kawaida sana kwasasa,Hii ipo siku hizi sehemu nyingi..... Na inatokea sana kwenye familia masikini ambapo mtoto anadanga anapata pesa analeta Mkate nyumbani......hivyo Mtoto ndio anakuwa Baba au Mama wa familia hakuna wa kumsema.
Acha Ngono zembe, subiria Ndoa yako.Yaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama haya
Hiyo ni jamii iliyooza kimaadili wazazi na walezi wote ni kitu kimoja.Imekuwa ni jambo la kawaida sana kwasasa,
Usipokuwa na mtoto hadi 27yrs wanakuona tasa[emoji23],wakati hata haujaolewa.