Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Huku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,

Lkn niseme tu waacheni wazae.
Hii ipo siku hizi sehemu nyingi..... Na inatokea sana kwenye familia masikini ambapo mtoto anadanga anapata pesa analeta Mkate nyumbani......hivyo Mtoto ndio anakuwa Baba au Mama wa familia hakuna wa kumsema.
 
Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?
Kiasi fulani katika jamii wanakuwa na kinga fulani ,angalau hata ukweni wanatambulika na watoto wanapata sapot. Linapokuja suala la kurithi vitu vya mzee wake hakuna doubts zozote anarithi tena fresh....

Ila wahuni hawa hata mke hajajifungua kashakimbia...Single mother bila ya kuolewa ni mbaya sana tena sana.
 
Mbaya mno
 
Hii ipo siku hizi sehemu nyingi..... Na inatokea sana kwenye familia masikini ambapo mtoto anadanga anapata pesa analeta Mkate nyumbani......hivyo Mtoto ndio anakuwa Baba au Mama wa familia hakuna wa kumsema.
Imekuwa ni jambo la kawaida sana kwasasa,

Usipokuwa na mtoto hadi 27yrs wanakuona tasa[emoji23],wakati hata haujaolewa.
 
Back
Top Bottom