mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
tatizo mnaogopa kuwa tofauti, mnaogopa kusemwaImekuwa ni jambo la kawaida sana kwasasa,
Usipokuwa na mtoto hadi 27yrs wanakuona tasa[emoji23],wakati hata haujaolewa.
Cha kusikitisha ni single moms wengi wana changamoto za kihisia na kimtazamo.Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.
Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.
Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).
Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.
Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.
Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.
Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Alikufanyia nini Mkuu......tupe kwa kifupi tujifunze.Cha kusikitisha ni single moms wengi wana changamoto za kihisia na kimtazamo.
Nimehusiana na wawili, ila mmoja tulifika level ya kumweka ndani kabisa; yeye na mwanaye but, sikio la kufa mzee!
Alinifanyia vituko mpaka ikabidi tuachane tumezaa mtoto mwingine.
So ana wawili at 30+.. Sijui itakuwaje mbeleni.
Sasa ndugu tufanyeje? Dunia ishavaa kaptura.zamani binti anaulizwa wewe ni "bikira" lakini sahivi anaulizwa "unamtoto"
Watoto wadogo wameshupalia mapenzi sana kuliko kitu kingine chochote.hicho kitu nimekiona kweli, macho yote yanageuka kwao wanalaumiwa
juzi nilipokea taarifa kuna binamu yangu kaacha shule kisa mimba, alikua form 3
kila mtu anamtupia lawama sijui atakua na hali gani huko aliko
na alikua anabanwa sana asitumie simu mda wa likizo saivi ndo nimeelewa kumbe alikuwa na kesi za mapenzi
Wala sioni shida mie,waniite mgumba hadi waniite tena,tatizo mnaogopa kuwa tofauti, mnaogopa kusemwa
ukiweza kuvumilia hayo mambo hutoona shida
Ila hata sisi wanaume tujiangalie na tuwe na huruma kwa kweli ,ukijua mwanamke bado mwanafunzi kuna ulazima gani wa kumfuata !? Kwanza ni kujikosea heshima yaani unakaa uchi mbele ya kitoto...hicho kitu nimekiona kweli, macho yote yanageuka kwao wanalaumiwa
juzi nilipokea taarifa kuna binamu yangu kaacha shule kisa mimba, alikua form 3
kila mtu anamtupia lawama sijui atakua na hali gani huko aliko
na alikua anabanwa sana asitumie simu mda wa likizo saivi ndo nimeelewa kumbe alikuwa na kesi za mapenzi
Jitunze utapata mume bora hao siku zao zinahesabika.Wala sioni shida mie,waniite mgumba hadi waniite tena,
1. Uaminifu kiduchu, ana makandokando tele.Alikufanyia nini Mkuu......tupe kwa kifupi tujifunze.
Sasa ukamwachia tena mzigo mwingine? Umemuonea sana🤣🤣
Subiri waje wakuparueHili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.
Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.
Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).
Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.
Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.
Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.
Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Makando kando yalibaki hata baada ya Kuja Kwako?1. Uaminifu kiduchu, ana makandokando tele.
2. Insecurity yake imevuka mawingu.
3. Magomvi ya kila siku, e.t.c
Mambo ni mengi.
Ila sikumuachia mzigo.. nafanya majukumu yangu ya u-daddy kwa kiwango cha juu.
Hahahaa.......kama aliyekuzalisha alidai anakupenda sana na akaacha kule mtoto uliyezaa naye iwejw mtu mwingine aje kukulelea?Subiri waje wakuparue
Hivi umezaa kabla ya ndoa unategemea nini?
Nani mzigo wako akulelee?
Wanawake wa Aina hii almost ni Malaya tu
Nasubiri povu
Je wanafaa kuolewa tena?Hawa ni category nyingine.
HahahaKm walivyo kataa ndoa hata single mothers nao Wana Crew yao.....