Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

hicho kitu nimekiona kweli, macho yote yanageuka kwao wanalaumiwa

juzi nilipokea taarifa kuna binamu yangu kaacha shule kisa mimba, alikua form 3

kila mtu anamtupia lawama sijui atakua na hali gani huko aliko

na alikua anabanwa sana asitumie simu mda wa likizo saivi ndo nimeelewa kumbe alikuwa na kesi za mapenzi
 
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.

Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.

Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.

Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.

Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.

Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.

Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).

Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.

Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.

Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.

Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Cha kusikitisha ni single moms wengi wana changamoto za kihisia na kimtazamo.

Nimehusiana na wawili, ila mmoja tulifika level ya kumweka ndani kabisa; yeye na mwanaye but, sikio la kufa mzee!

Alinifanyia vituko mpaka ikabidi tuachane tumezaa mtoto mwingine.

So ana wawili at 30+.. Sijui itakuwaje mbeleni.
 
Alikufanyia nini Mkuu......tupe kwa kifupi tujifunze.

Sasa ukamwachia tena mzigo mwingine? Umemuonea sana🤣🤣
 
hicho kitu nimekiona kweli, macho yote yanageuka kwao wanalaumiwa

juzi nilipokea taarifa kuna binamu yangu kaacha shule kisa mimba, alikua form 3

kila mtu anamtupia lawama sijui atakua na hali gani huko aliko

na alikua anabanwa sana asitumie simu mda wa likizo saivi ndo nimeelewa kumbe alikuwa na kesi za mapenzi
Watoto wadogo wameshupalia mapenzi sana kuliko kitu kingine chochote.

Macho Kodo
 
hicho kitu nimekiona kweli, macho yote yanageuka kwao wanalaumiwa

juzi nilipokea taarifa kuna binamu yangu kaacha shule kisa mimba, alikua form 3

kila mtu anamtupia lawama sijui atakua na hali gani huko aliko

na alikua anabanwa sana asitumie simu mda wa likizo saivi ndo nimeelewa kumbe alikuwa na kesi za mapenzi
Ila hata sisi wanaume tujiangalie na tuwe na huruma kwa kweli ,ukijua mwanamke bado mwanafunzi kuna ulazima gani wa kumfuata !? Kwanza ni kujikosea heshima yaani unakaa uchi mbele ya kitoto...

Vijijini huku umaskini unasababishwa sana na huu ujinga na kikwazo kwa watoto kupata elimu , umaskini unaendelea kukuta mtoto mweny maendeleo darasani kapewa mimba ni kawaida na safari yake ya elimu imeishia hapo.

Naona adhabu ya kunyongwa irudishwe...Nashukuru wadogo zangu hakuna aliyezalia nyumbani mpaka wameolewa na hakuna aliyeachika mpaka sasa .
 
Alikufanyia nini Mkuu......tupe kwa kifupi tujifunze.

Sasa ukamwachia tena mzigo mwingine? Umemuonea sana🤣🤣
1. Uaminifu kiduchu, ana makandokando tele.
2. Insecurity yake imevuka mawingu.
3. Magomvi ya kila siku, e.t.c

Mambo ni mengi.

Ila sikumuachia mzigo.. nafanya majukumu yangu ya u-daddy kwa kiwango cha juu.
 
Sionagi shida eneo hilo,shida ni hawa wadada anapojitoa ufahamu hakwambii ana mtoto anakausha kimyaa.

Taarifa za ana mtoto anakupa ushamla mkiwa kitandani au kesho yake.

sijui ndio anaamini sitoweza muacha sababu nimemla? ukweli n kwamba Mwanamke akiwa muwazi tangu mwanzo unaweza enda nae lakini mwanamke yeyote msiri kwa mtoto wake wa kumzaa kwangu namchukulia kama Malaya.

Hashindwi nificha akasema yuko single,hashindwi kuvua pete ya ndoa akaenda kudanga akisema hana ndoa,nk

kama ameweza mficha mtoto aliembeba miezi 9 atashindwa nikataa mimi afanye yake? Simuwezi aina hiyo ya mwanamke.

Tunawaacha sio sababu mmetuambia mna watoto,ni sababu mmewaficha tupo kwenye mahusiano mwezi na zaidi unakuja niambia leo una mtoto... Nakuacha vizuri tu.
 
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.

Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.

Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.

Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.

Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.

Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.

Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).

Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.

Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.

Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.

Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Subiri waje wakuparue

Hivi umezaa kabla ya ndoa unategemea nini?

Nani mzigo wako akulelee?

Wanawake wa Aina hii almost ni Malaya tu

Nasubiri povu
 
1. Uaminifu kiduchu, ana makandokando tele.
2. Insecurity yake imevuka mawingu.
3. Magomvi ya kila siku, e.t.c

Mambo ni mengi.

Ila sikumuachia mzigo.. nafanya majukumu yangu ya u-daddy kwa kiwango cha juu.
Makando kando yalibaki hata baada ya Kuja Kwako?

Basi huyo hajaamua kubadilika.
 
NDOA zinawavuruga sana ila hazina ishu wadada mngelitambua hili mngeepuka sana na hizi mambo za single maza,mwanaume akikupa mimba unashindwa nini hamia kwake?

Nenda kakae na mwanaume wako huko huko kaa hapo subiri ndoa,na Hajakuoa uone kama utaolewa.

Miezi 9 mwanaume akusubiri wewe ujauzito wenyewe kuna muda hamfanyi kitu, ukishajifungua hamfanyi kitu, mwanaume yuko tu anakusubiri wewe?

U single maza mwingi mnausababusha na kuutaka wenyewe kwa kutaka NDOA..

Heri NDOA/HARUSI uwe single mama au ukae na mwanaume aliekuzalisha bila ndoa, mtakuja mfunge ndoa mbeleni?

Wadada fungukeni akili otherwise mtalia kila siku.
 
Back
Top Bottom