Yaani kulea watoto wa mwanaume mwingine ndio majukumu yetu tunayopashwa kutimiza au tukueleweje?
Sijui labda haujaelewa tatizo hapa. Hawa mabinti huwa wanachagua kuruka na watu ambao hawana malengo ambao hawana mbele wala nyuma, mwanaume amejichora tattoo shingo nzima na mikononi, anasuka rasta, anavaa mlegezo yeye binti ndio anakwenda fanya nae ngono kwa usiri halafu anapata mtoto kisha unataka watoto wa kiume wenye akili timamu wenye maadili waje kulea huyo mtoto we dada upo serious kweli wewe?
Ina maana hawa mabinti hawajui tofauti ya mwanaume decent na muhuni?
Mbona inawachukua dakika chache kujua tofauti ya Mwanaume mwenye maisha mazuri na mwanaume asiye na maisha mazuri na kipato halafu ikuchukue mimba tatu za wanaume tofauti kujua tofauti ya baba bora wa familia na wanaume wanaozalisha na kutelekeza a.k.a wahuni?
[
Unataka kusemaa wote wanaopewaa mimba wanapewaa na haina hiyo ya watu uliowatajaaa? Sio kweli bro nakataa..wapo watuu ambaoo uwezi wadhania kbsaa na wanafanyaa huo uhuniii...kikubwaa umempa binti ya watu mimbaa tumikiaa ulichokifanyaa..tuone Kama hao single maza watakuwepoo..labda mwanamkee atake mwenyewe kuwaa hivyoo