Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,

Sasa tushike lipi??
Usisikilize ya watu ya jamii fuata yako ukiishi kwa mitazamo ya watu unapotea tazama yale yanayokupa raha na amani, usiogope wanakuambia wewe ni tasa haijalishi shika lako la msingi mwenye upendo nawe atakuja tu
 
Cha kusikitisha ni single moms wengi wana changamoto za kihisia na kimtazamo.

Nimehusiana na wawili, ila mmoja tulifika level ya kumweka ndani kabisa; yeye na mwanaye but, sikio la kufa mzee!

Alinifanyia vituko mpaka ikabidi tuachane tumezaa mtoto mwingine.

So ana wawili at 30+.. Sijui itakuwaje mbeleni.
Ukiona mfupa umemshinda fisi then jua mbwa hataweza.
 
Washakata mkataba na Ndoa yenye afya na Tija[emoji3482]

Ni bora yule aliachika ndan ya ndoa..
Atleast
 
Acheni hao mabinti wapumue jamani..kwani hizo mimba wanajibebesha wenyeweee?...Na nyie wanaume timizeni majukumu yenu na muache janja janja kuharibu mabinti za watuu...Etii oooh tuna wamwaga sababu ya tabia zaoo..Nyiee wanaume mna tabia nzurii?.Rudini kwenye maadili ya kiumee Kama baba zenu muone Kama hao single maza watakuwepoo...Uzinzi haufai kwa pande zote mbili umebebesha binti wa watu mimba oaa full stop
 
Wee mwanamke miaka 27 hujaolewa kwa nini? Wengi mnaendekeza uzinzi ndio maana 27 inakukuta bado watapa tapa
Ukikauliza hapo kuwa hakajawahi tongozwa na wauame serious huko nje utaona kanavyogeuza maneno ili kaonekane ni innocent.

Ila uhalisia ni kuwa vinachagua chagua sana wanaume na ubaguzi wa kipato huwa ndio unawaponza anataka aanze na mwanaume mwenye kila kitu sababu ya uvivu wa kujenga pamoja.
 
We hadi miaka 27 unakuwa unafanya nini? Yaani ni mbaya kiasi hicho hadi tokea umetimiza miaka 18 hadi ufike huko 27 usichumbiwe na mtu?
Labda tulishaolewaga na hatukuzaa,kwenu mnaolewaga na umri gani labda,

Nina aunt yangu kaolewa na 46yrs na kazaa mara tatu dabo,

Niambie.
 
Acheni hao mabinti wapumue jamani..kwani hizo mimba wanajibebesha wenyeweee?...Na nyie wanaume timizeni majukumu yenu na muache janja janja kuharibu mabinti za watuu...Etii oooh tuna wamwaga sababu ya tabia zaoo..Nyiee wanaume mna tabia nzurii?.Rudini kwenye maadili ya kiumee Kama baba zenu muone Kama hao single maza watakuwepoo...Uzinzi haufai kwa pande zote mbili umebebesha binti wa watu mimba oaa full stop
Yaani kulea watoto wa mwanaume mwingine ndio majukumu yetu tunayopashwa kutimiza au tukueleweje?

Sijui labda haujaelewa tatizo hapa. Hawa mabinti huwa wanachagua kuruka na watu ambao hawana malengo ambao hawana mbele wala nyuma, mwanaume amejichora tattoo shingo nzima na mikononi, anasuka rasta, anavaa mlegezo yeye binti ndio anakwenda fanya nae ngono kwa usiri halafu anapata mtoto kisha unataka watoto wa kiume wenye akili timamu wenye maadili waje kulea huyo mtoto we dada upo serious kweli wewe?

Ina maana hawa mabinti hawajui tofauti ya mwanaume decent na muhuni?

Mbona inawachukua dakika chache kujua tofauti ya Mwanaume mwenye maisha mazuri na mwanaume asiye na maisha mazuri na kipato halafu ikuchukue mimba tatu za wanaume tofauti kujua tofauti ya baba bora wa familia na wanaume wanaozalisha na kutelekeza a.k.a wahuni?
 
Wee hawa wakiwa na uwezo wanatuangamiza walivyo na roho mbaya wakipata uwezo hawa wanaweza watake kubaki wenyewe duniani.
Dawa ni kuwakandamiza tuu🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo kijana ameandika hiyo kauli aidha kwa kuwafurahisha wanawake au hawajui kabisa wanawake kiundani.

Mwanamke akiwa na power ni hatari sana kwa mwanaume na jamii nzima kwa ujumla.

Kuna mama mmoja mtu mzima aliwahi kuniambia hivi sisi wanawake tuna roho mbaya sana, na endapo kama sisi ndio tungekuwa tuna nguvu ya kimwli na fedha kama nyie wanawaume, basi mngeishi kwa tabu sana hapa duniani" ... Halafu akamaliza kwaniuliza "mfano kama sasa hivi tu hata sisi tumeanza kupata uhuru wa kiuchumi, unalionaje joto lake"??..

Kaka Mimi binafsi Huwa nnawaelewa sana jamaa zetu wa bara lile jinsi wanavyoishi na wanawake.
 
Labda tulishaolewaga na hatukuzaa,kwenu mnaolewaga na umri gani labda,

Nina aunt yangu kaolewa na 46yrs na kazaa mara tatu dabo,

Niambie.
Sasa wewe uolewe una umri wa miaka 46 hivi hapo unakwenda kufanya nini kwenye mahusiano mtoto wa kike hiyo ndoa au maigizo?

Unajua wanawake mnapenda sana kufarijiwa na kuambiwa uongo, ukweli ukisemwa mnaona mnadhalilishwa.

Umri wa Ndoa serious kwa mwanamke huwa hautakiwi kuzidi 25 years na sababu zipo wazi. Mwanaume umri wa kuoa serious ni kuanzia 25.

Ipo hivi. Mwanamke unavyozidi kuchelewa kuingia katika ndoa kwanza una risk idadi ya watoto utakaopata. Wewe unaolewa una miaka 46 ujauzito m'moja unabebwa kwa miezi 9 ambapo hiyo ni almost mwaka kasoro miezi 3 na unatakiwa baada ya hapo ulee mtoto kwa at least miaka 3 kabla ya kupata wa mwingine kiafya sasa miaka 46 jumlisha mwaka m'moja wa kubeba ujauzito, jumlisha miaka 4 ya malezi kabla haujajiandaa kubeba mtoto wa pili halafu halafu tusisahau kuwa wewe hauna experience ya kuwa mama maana umeishi miaka yote bila mtoto wala kulea mtoto wako mwenyewe, hivi unajua shughuli ya kukesha ukibembeleza mtoto alale, kulisha awe na afya, kumtrain hadi awe mkubwa, kumfunza kuongea, kumlinda na hatari zote zinazomzunguka. Wadhani ni kazi ndogo hiyo huku unalea ndoa na mume. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana hizi ndoa huwa hazifiki mbali maana mwanamke utatakiwa sacrifice vingi sana kwa jambo ambalo ungefanya mapema huu muda wa miaka 40+ unaanza kuishi life ile ya kuenjoy jitihada zako zote za ujanani.
 
Huyo kijana ameandika hiyo kauli aidha kwa kuwafurahisha wanawake au hawajui kabisa wanawake kiundani.

Mwanamke akiwa na power ni hatari sana kwa mwanaume na jamii nzima kwa ujumla.

Kuna mama mmoja mtu mzima aliwahi kuniambia hivi sisi wanawake tuna roho mbaya sana, na endapo kama sisi ndio tungekuwa tuna nguvu ya kimwli na fedha kama nyie wanawaume, basi mngeishi kwa tabu sana hapa duniani" ... Halafu akamaliza kwaniuliza "mfano kama sasa hivi tu hata sisi tumeanza kupata uhuru wa kiuchumi, unalionaje joto lake"??..

Kaka Mimi binafsi Huwa nnawaelewa sana jamaa zetu wa bara lile jinsi wanavyoishi na wanawake.
Bara gani?
 
Hii misemo overrated mm dada zangu 2 single mother ni kweli nasikitika ila mada ni kweli ni mkosi wamejiletea .kuna mmoja alikaza mpaka 35 pamoja na udangaji wake saivi kawaacha hawa wawili watu wanakuja hadi jitambulisha wakisha mjua baba wa mtoto tu wanakula kona

Mi nammoja ninampenda kishenzi nkikaa nae we are just natural birds
Yaan hata nkitokanae mahali lazima atatokea mtu aseme asee mnaendana sana .shida ni kazaa 2 kids na wote washkaj zangu(tunakunywa nao kijiwe kimoja ) .jamaa hawaishi piga simu na mara niende kwake niwskute seblen wamekuja salimia mtoto .skuingine akasema nimsindikize harusi ya mdogo wake na mzazi mwenzie yaan nilikuwa naangaliwa kwa jicho na wanaume linasema Mwamba unafeli .
Juzi kati metafuta sababu nimepiga chini kamelia sana ila hamna njia kosa lake kuzaa kabla sijaja ndo malipo yake.kila la kher my crush
Ilitakiwa umzalishe mtoto wa tatu ili uungane na chama la wana
 
Yaani kulea watoto wa mwanaume mwingine ndio majukumu yetu tunayopashwa kutimiza au tukueleweje?

Sijui labda haujaelewa tatizo hapa. Hawa mabinti huwa wanachagua kuruka na watu ambao hawana malengo ambao hawana mbele wala nyuma, mwanaume amejichora tattoo shingo nzima na mikononi, anasuka rasta, anavaa mlegezo yeye binti ndio anakwenda fanya nae ngono kwa usiri halafu anapata mtoto kisha unataka watoto wa kiume wenye akili timamu wenye maadili waje kulea huyo mtoto we dada upo serious kweli wewe?

Ina maana hawa mabinti hawajui tofauti ya mwanaume decent na muhuni?

Mbona inawachukua dakika chache kujua tofauti ya Mwanaume mwenye maisha mazuri na mwanaume asiye na maisha mazuri na kipato halafu ikuchukue mimba tatu za wanaume tofauti kujua tofauti ya baba bora wa familia na wanaume wanaozalisha na kutelekeza a.k.a wahuni?
Ujanielewaaaa umempaa binti wa watu mimbaa oa..na sio kumuachaa..aoe nani?..
 
[
Unataka kusemaa wote wanaopewaa mimba wanapewaa na haina hiyo ya watu uliowatajaaa? Sio kweli bro nakataa..wapo watuu ambaoo uwezi wadhania kbsaa na wanafanyaa huo uhuniii...kikubwaa umempa binti ya watu mimbaa tumikiaa ulichokifanyaa..tuone Kama hao single maza watakuwepoo..labda mwanamkee atake mwenyewe kuwaa hivyoo
 
Tatizo wanapenda sana swaga hawa viumbe huwa hawapogi serious na kitu kinaitwa maisha hadi waharibu kwa kutiwa mimba na kuleta watoto babaless ndio wanaanza kuleta mazoea na akili za maisha ufala tu aisee.
Mimi binafsi naona tatizo sio kuzaa Bali wanazaa na mwanaume wa aina gani.

Mimi sioni shida kwa binti kuzaa hata bila ya ndoa endapo kama amezaa na mwanaume SAHIHI kwa maana ya anayejitambua yeye na kutambua majukumu yake kama baba!

Mwanamke akizaa na mwanaume wa dizaini hii hata haya malalamiko hayawezi kuwepo, na hii inampa nafasi ya yeye kutimiza malengo yake kwa urahisi.. maana hajabeba mzigo wa malezo peke yake

Kimbembe ni hawa wanaozaa ni visharobaro ambavyo havina mbele Wala nyuma, halafu baadae mambo yakiwa magumu wanakuja na kauli za kipuuzi eti " hizo mimba hatukujipa sisi wenyewe"...ndio mimba hujajipa mwenyewe, lakini ulikuwa una uwezo wa kuchagua mwanaume SAHIHI wakukupa hiyo mimba na kuepukana na kadhia zote.... Kuna single mothers Wana enjoy sana life sababu walizaa na wanaume sahihi
 
Back
Top Bottom