Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Mzeiya mzabzab single maza ni malaya wa kutupa, yaani wanatapatapa sana kila bwana anampea tu anahisi labda huenda atamuoa. Wanapigwa sana miti, ogopa. Speaking from experience
Speaking from Experience we ni Single Mother?

Ndio maana single mother huwa hazai mara moja anazaa hadi watoto Sita na Kila mtu na Baba yake.
 
Ndugu Muhimbu.....Sijui unataka ku make point gani lakini kwa ujumla ikiwa Mwanaume anazaa na mwanamke ambaye hawezi kumuoa Automatically huyo Mwanaume sio Sahihi.
 
Huwa wanaamua kujiripua liwalo na liwe .

Wapo wanaume wengi huingia Kingi kwa kuoa wanawake waloshika mimba.

Wanaume wengi wamelazimika kuoa baada wa wanawake wao kushika mimba.
 
Huwa wanaamua kujiripua liwalo na liwe .

Wapo wanaume wengi huingia Kingi kwa kuoa wanawake waloshika mimba.

Wanaume wengi wamelazimika kuoa baada wa wanawake wao kushika mimba.
Kwa wale ambao walikuwa wanawapenda tangu awali.......lakini kama pia Mwanamke haeleweki ndio hao wanakula nduki.
Kuna mwanamke anakwambia ana mimba yako ila kutokana na tabia zake unaogopa kuamini kama ni yako kweli au unabambikiwa
 
Labda tulishaolewaga na hatukuzaa,kwenu mnaolewaga na umri gani labda,

Nina aunt yangu kaolewa na 46yrs na kazaa mara tatu dabo,

Niambie.


Waooo nimeipenda sana hii.

Mwenyezi Mungu ni mkuu sana.

Kila mwenye kusubiri yupo na Mwenyezi Mungu. Inalilah Maswabilina
 
Wanawake wanapenda sana kutumia exception case kama sehemu ya kujifariji au ku-justify mitazamo dhaifu waliyonayo juu ya jambo Fulani.

Eti anakwambia Nina "aunt yangu ameolewa na miaka 46" serious?

Muulize kwanza huko kwao ni shangazi zake wangapi waliolewa wakiwa na umri wa 40+ kulinganisha na wale waliolewa wakiwa Bado wako below 30 na kwanini ameamua kumchukulia kama mfano wa kuiga huyo aliolewa na 46 na sio hao wengine waliolewa Bado ni mabinti, hapo jibu utapata ni kwa sababu tayari ameshaaribu kwenye usichana wake na huyo aunt yake aliolewa na miaka 46 ndio sehemu yake ya kujifariji.

Na kimgine ni wanaume wangapi kwanza ambao wako tayari kuoa mwanamke mwenye 40+? Obvious ni vibabu ambavyo vinatafuta mtu wa kiviuguza magonjwa yao ya uzeeni... Lakini kijana mwenye utimamu wake anaanzaje kujizoelea jimama ambalo tayari limeshagusa menopause
 
Akili zako za kimaandazi ndo zinakufanya uwaze hvyo.je,vp wale ambao wanaobakwa
 
Ukute kwenye wanaume 5....watatu wamezaliwa nje ya ndoa....maaskini pasi kujua hao watatu wanakuja jf kutukana wanawake waliozaa nje ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…