Sasa wewe uolewe una umri wa miaka 46 hivi hapo unakwenda kufanya nini kwenye mahusiano mtoto wa kike hiyo ndoa au maigizo?
Unajua wanawake mnapenda sana kufarijiwa na kuambiwa uongo, ukweli ukisemwa mnaona mnadhalilishwa.
Umri wa Ndoa serious kwa mwanamke huwa hautakiwi kuzidi 25 years na sababu zipo wazi. Mwanaume umri wa kuoa serious ni kuanzia 25.
Ipo hivi. Mwanamke unavyozidi kuchelewa kuingia katika ndoa kwanza una risk idadi ya watoto utakaopata. Wewe unaolewa una miaka 46 ujauzito m'moja unabebwa kwa miezi 9 ambapo hiyo ni almost mwaka kasoro miezi 3 na unatakiwa baada ya hapo ulee mtoto kwa at least miaka 3 kabla ya kupata wa mwingine kiafya sasa miaka 46 jumlisha mwaka m'moja wa kubeba ujauzito, jumlisha miaka 4 ya malezi kabla haujajiandaa kubeba mtoto wa pili halafu halafu tusisahau kuwa wewe hauna experience ya kuwa mama maana umeishi miaka yote bila mtoto wala kulea mtoto wako mwenyewe, hivi unajua shughuli ya kukesha ukibembeleza mtoto alale, kulisha awe na afya, kumtrain hadi awe mkubwa, kumfunza kuongea, kumlinda na hatari zote zinazomzunguka. Wadhani ni kazi ndogo hiyo huku unalea ndoa na mume. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana hizi ndoa huwa hazifiki mbali maana mwanamke utatakiwa sacrifice vingi sana kwa jambo ambalo ungefanya mapema huu muda wa miaka 40+ unaanza kuishi life ile ya kuenjoy jitihada zako zote za ujanani.