joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ukute wengine wanapenda kuwa hivyo "Single Mother",halafu wewe ndio unahangaika kuwashauri.A human being is a very Complex creature.Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.
Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.
Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).
Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.
Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.
Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.
Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Ukisha chagua ujue kukubali kiwa side chick for life
Yap wanaolewa na waliofiwa na wake au wasio mahandsome[emoji3][emoji3][emoji3]kila mtu na ndoto zake ndo maaana wapo single moms wanao olewa vizuri tu
Vibaya mno mkuuWanaichakata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hivyo yaani usiweke ndani single maza
Yap wanaolewa na waliofiwa na wake au wasio mahandsome
Sasa nikisema ukipata form 4 zero uwezekana wa kuwa jaji mdogo sana ni ninakuumiza au nakwambia ukweli.uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao
acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
Jidanganye......only loosers can feel happier in single motherhood state.Ukute wengine wanapenda kuwa hivyo "Single Mother",halafu wewe ndio unahangaika kuwashauri.A human being is a very Complex creature.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sawa hatujasema hawaolewi .......tumawashauri hawa wadogo zetu wasija kuingia huko. Ni Kubaya.uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao
acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
Hao nao ni catogory nyingine........mada yao itakujaMbona kuna wanawake wapo kwenye ndoa,wanaishi maisha magumu kama shetani kuliko hao single mama? Ambao mnawasema daily hapa
Wanachakatwa vibaya sana.NAKAZIA
Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa
Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa
Imagine singo maza na ni 30+
Ni kweliMkiona hafai muache na msimzalishe maana mnazalisha kizazi cha kulala barabara na kwako mwanaume hakikuletei baraka zaidi ya mikosi hasa mtoto akiwa ananung'unika kwa mateso anayopitia
Huwa wanaona sifa na kamsemo kao eti, MWANAMKE LABOUR. Pumbavu.Ongezea sauti wasikie..
Sidhani hata kama wanakusiliza, mie nadhani single maza wao hawana shida kabisa cz si anajijua yuko na nini alifanyaHili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.
Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.
Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).
Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.
Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.
Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.
Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Wengine wanalazimisha kuachika nao wanawekwa wapi?Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?