joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Binti akiwa na hofu ya Mungu, akiwa hana tamaa ya pesa kupitiliza na akiwa amejiweka mbali kwenye Social Networks mpaka atakapo jitambua ni ngumu sana kuwa single mother. Tatizo wazazi na jamii kiujumla hatutimizi majukumu yetu.
Na vijana wengi wa siku hizi,wao wanatufa pumzi za kitandani kumkojoza mwanamke, ila wengi hawan pumzi za kusimama kama mwanaume kwa kutimiza majukumu yake kwa kila kilicho patikana kitandani, baada ya kuonyesha huo ufundi wake.
Halafu kuna age fulani ya mabinti hasa 18-25 wanakuwaga na machaguo ya ajabu ya kupenda wahuni na maplay boy,hapa ndipo wanapo Chemka na sijajuaga ni kwa nini.