Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Binti akiwa na hofu ya Mungu, akiwa hana tamaa ya pesa kupitiliza na akiwa amejiweka mbali kwenye Social Networks mpaka atakapo jitambua ni ngumu sana kuwa single mother. Tatizo wazazi na jamii kiujumla hatutimizi majukumu yetu.

Na vijana wengi wa siku hizi,wao wanatufa pumzi za kitandani kumkojoza mwanamke, ila wengi hawan pumzi za kusimama kama mwanaume kwa kutimiza majukumu yake kwa kila kilicho patikana kitandani, baada ya kuonyesha huo ufundi wake.

Halafu kuna age fulani ya mabinti hasa 18-25 wanakuwaga na machaguo ya ajabu ya kupenda wahuni na maplay boy,hapa ndipo wanapo Chemka na sijajuaga ni kwa nini.
 
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.

Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.

Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.

Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.

Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.

Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.

Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).

Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.

Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.

Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.

Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Ukute wengine wanapenda kuwa hivyo "Single Mother",halafu wewe ndio unahangaika kuwashauri.A human being is a very Complex creature.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mbona kuna wanawake wapo kwenye ndoa,wanaishi maisha magumu kama shetani kuliko hao single mama? Ambao mnawasema daily hapa
 
Yap wanaolewa na waliofiwa na wake au wasio mahandsome

uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao

acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
 
Sasa nikisema ukipata form 4 zero uwezekana wa kuwa jaji mdogo sana ni ninakuumiza au nakwambia ukweli.

Hakuna mwanaume aliekamilika na kapangilia maisha yake anataka kuwa na single maza .binadamu anapenda vizuri .
 
uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao

acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
Sawa hatujasema hawaolewi .......tumawashauri hawa wadogo zetu wasija kuingia huko. Ni Kubaya.
 
NAKAZIA

Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa

Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa

Imagine singo maza na ni 30+
Wanachakatwa vibaya sana.
Wengi wanachakwtwa na waume za watu na wazee
 
Mkiona hafai muache na msimzalishe maana mnazalisha kizazi cha kulala barabara na kwako mwanaume hakikuletei baraka zaidi ya mikosi hasa mtoto akiwa ananung'unika kwa mateso anayopitia
Ni kweli
 
Hapana

Inategemea na mtazamo wa ndani!

Mi nipo tofauti kidogo kwenye Hilo!nikimuona single mother Huwa naangalia ustawi was mtoto wake kama ni smart ana afya najua huyu no smart kwenye malezi,pia alimwamini mtu Saba akamtenda!!

Sijawahi nyanyapaa single mothers Huwa nanyanyapaa alieachika kwenye ndoa namuona no mzembe sana!!

Kwanini!!?

Hata huyu nilie nae ningemzalisha nikamwacha angekua single mother TU,ni vile alikuta Mimi ni gentle!!Huwa nabeba uhusika sana kama mimi ndio chanzo!!!

Single mothers wengi wanaumia lakini mara nyingi nikukutana nao Huwa wanajisikia vizuri Kwa mtazamo nilionao kuhusu maisha,kwanza nawaambia ongeza mwingine tutalea sisi ni walimwengu kazi yetu ni kulea!

Huko mbele tunapokwenda single mothers watakua na solo sana coz uzazi unaenda kuwa wa shida sana wakuu!!

Mabinti wanaotumia njia za uzazi mpango no 50/50 kupata ujauzito na ukimuoa bila kumzalisha kwanza kazi unayo mkuu Tena kubwa!nimeliona Hilo kazini !!

NIMEWEKA KAUTARATIBU FULANI KA KUWANUNULIA WATOTO WA SINGLE MOTHERS NINAO WAJUA VITU VIDOGO VIDOGO,NIMELIONA TABASAMU LAO!NA NAPIGA NAO SANA STORI ZA HAPA NA PALE!NI WATU WAZURI HALAFU WANAJUA SANA MAISHA I APPRECIATE!NI VILE LOCATION NILIOPO NABANWA SANA KIAZINGIRA YA KIKAZI,NINGEISHI NAO KIROHO SAFI NA KUWAZALISHA NA KULEA WATOTO WAO NA NINGE ENJOY UTAMU WAO!!!

TUWAPENDE HAWA WATU ,THEY ARE GOOD I LOVE THEM ALL!

POPOTE MLIPO MWAAAAHH MASHAVUNI!!!
 
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.

Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.

Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.

Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.

Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.

Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.

Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).

Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.

Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.

Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.

Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
Sidhani hata kama wanakusiliza, mie nadhani single maza wao hawana shida kabisa cz si anajijua yuko na nini alifanya

Shida iko kwetu kuwaona wao wamekosea kumbe mtu alipanga kuzaa
 
Back
Top Bottom