City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Kichwa chake ni makao makuu ya ujinga.Makando kando yalibaki hata baada ya Kuja Kwako?
Basi huyo hajaamua kubadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chake ni makao makuu ya ujinga.Makando kando yalibaki hata baada ya Kuja Kwako?
Basi huyo hajaamua kubadilika.
Mwingine anaweza kuwa msiri kwa sababu anakupenda sana na hataki akupoteze.sijui ndio anaamini sitoweza muacha sababu nimemla? ukweli n kwamba Mwanamke akiwa muwazi tangu mwanzo unaweza enda nae lakini mwanamke yeyote msiri kwa mtoto wake wa kumzaa kwangu namchukulia kama Malaya.
🤣🤣🤣🤣Poleni poleni poleni,single maza poleni,kwa ujinga wenu poleni,kuzaa nje ya ndoa poleni,komandokomando kichupi single mazafaka
Shida unazaa na nani? ni vizuri ukazaa sehemu sahihi unajua kabisa huyo ana nia na wewe ya kweli tofauti na hapo utapata tabu mno ukiachwa na huyo uliyezaa naeMbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??
Wao wanatanguliza Nyege mbele......mengine huja baadae.Shida unazaa na nani? ni vizuri ukazaa sehemu sahihi unajua kabisa huyo ana nia na wewe ya kweli tofauti na hapo utapata tabu mno ukiachwa na huyo uliyezaa nae
HahahaaKichwa chake ni makao makuu ya ujinga.
Za kuambiwa changanya na zakoMbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??
Hii misemo overrated mm dada zangu 2 single mother ni kweli nasikitika ila mada ni kweli ni mkosi wamejiletea .kuna mmoja alikaza mpaka 35 pamoja na udangaji wake saivi kawaacha hawa wawili watu wanakuja hadi jitambulisha wakisha mjua baba wa mtoto tu wanakula konakichaa anachekesha akivua nguo barabarani iwapo siyo ndugu yako. Omba yasikukute
Una roho Ngumu Sana mkuuHii misemo overrated mm dada zangu 2 single mother ni kweli nasikitika ila mada ni kweli ni mkosi wamejiletea .kuna mmoja alikaza mpaka 35 pamoja na udangaji wake saivi kawaacha hawa wawili watu wanakuja hadi jitambulisha wakisha mjua baba wa mtoto tu wanakula kona
Mi nammoja ninampenda kishenzi nkikaa nae we are just natural birds
Yaan hata nkitokanae mahali lazima atatokea mtu aseme asee mnaendana sana .shida ni kazaa 2 kids na wote washkaj zangu(tunakunywa nao kijiwe kimoja ) .jamaa hawaishi piga simu na mara niende kwake niwskute seblen wamekuja salimia mtoto .skuingine akasema nimsindikize harusi ya mdogo wake na mzazi mwenzie yaan nilikuwa naangaliwa kwa jicho na wanaume linasema Mwamba unafeli .
Juzi kati metafuta sababu nimepiga chini kamelia sana ila hamna njia kosa lake kuzaa kabla sijaja ndo malipo yake.kila la kher my crush
Ngumu kumezaa mimi kAma siwezi hivii.....najua mateso yake baadaeeHii misemo overrated mm dada zangu 2 single mother ni kweli nasikitika ila mada ni kweli ni mkosi wamejiletea .kuna mmoja alikaza mpaka 35 pamoja na udangaji wake saivi kawaacha hawa wawili watu wanakuja hadi jitambulisha wakisha mjua baba wa mtoto tu wanakula kona
Mi nammoja ninampenda kishenzi nkikaa nae we are just natural birds
Yaan hata nkitokanae mahali lazima atatokea mtu aseme asee mnaendana sana .shida ni kazaa 2 kids na wote washkaj zangu(tunakunywa nao kijiwe kimoja ) .jamaa hawaishi piga simu na mara niende kwake niwskute seblen wamekuja salimia mtoto .skuingine akasema nimsindikize harusi ya mdogo wake na mzazi mwenzie yaan nilikuwa naangaliwa kwa jicho na wanaume linasema Mwamba unafeli .
Juzi kati metafuta sababu nimepiga chini kamelia sana ila hamna njia kosa lake kuzaa kabla sijaja ndo malipo yake.kila la kher my crush
Ndo uanaume kuna mda dr inabidi bila huruma alipasue jipu kisha aminye kibabe usaa wote ili mteja apone kikweli.Una roho Ngumu Sana mkuu
😅😅😅🧢Ndo uanaume kuna mda dr inabidi bila huruma alipasue jipu kisha aminye kibabe usaa wote ili mteja apone kikweli.
Hapa nampa mwezi akienda sana minne kwa alivyo pisi kali kuna mxalendo atajiweka ndan ya 7month anajuta hata alinitoaga wp kenge kama mm
Kama mnataka mzae kwanzs ndo tuwaoe nawashauri mjitafutie.ila mkitulia hadi tukawaoa msijali nyi ni malkia tutawapa chochoteTuwe na msimamo jmn tujue kujitaftia pia wanawake tunapigwa vita Sana.
Hapa swala sio kujitaftia tuu ni kuepuka kuzaa nje ya ndoa kabisaaa maana ni shida.Kama mnataka mzae kwanzs ndo tuwaoe nawashauri mjitafutie.ila mkitulia hadi tukawaoa msijali nyi ni malkia tutawapa chochote
Na ni mwehu tu wa kuchukia mtoto .tatizo yanayozunguka mtoto ikiwemo baba yake .familia yao kumganda .mpenzi wako kutojiamini juu ya jamaa .wengi wa wazazi wenzio huwa wanaona wivu jamaa akikulea vizuri ukinona anataka rudi ukikataa anapambana kuharibuHapa swala sio kujitaftia tuu ni kuepuka kuzaa nje ya ndoa kabisaaa maana ni shida.
Usukumani na kigoma kawaidaHuku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,
Lkn niseme tu waacheni wazae.
Kweli kabisa.Shida unazaa na nani? ni vizuri ukazaa sehemu sahihi unajua kabisa huyo ana nia na wewe ya kweli tofauti na hapo utapata tabu mno ukiachwa na huyo uliyezaa nae
Choices have konsekwensis au sio mzee wa job true true 🤣🤣🤣Watajijua wenyewe Mkuu.
MAISHA NI KUCHAGUA WAACHE WACHAGUE, ILA HATUTAKI LAWAMA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue