Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Ndo uanaume kuna mda dr inabidi bila huruma alipasue jipu kisha aminye kibabe usaa wote ili mteja apone kikweli.
Hapa nampa mwezi akienda sana minne kwa alivyo pisi kali kuna mxalendo atajiweka ndan ya 7month anajuta hata alinitoaga wp kenge kama mm
Nipigie pande mwanawane kwa huyo single maza pisi kali
 
Ongezea sauti wasikie..
  • Je na hii inamhusu hata yule karibu mkuu wa UWT? Role model wa ke wapambanaji. 😁😁😁
  • Miaka ya 90 jitihada nyingi zilifanywa na jamii kuwaelimisha wasichana jambo hili, na jamii ikawa na utulivu.
  • Zama hizi mabinti wanajitwalia ujauzito kama tangazo kuwa wana kizazi. Matokeo yake jamii imejaa watoto wahuni, panya road, n.k
  • Wameshusha hadhi ya uke kana kwamba ni zana nyingine za kazi - panga, shoka, mkono, ...
 
Mimi naona shida Iko kwetu wanaume. Kwasababu unajua Kabisa huwezi muoa kwanini uumpe mimba, Pili tuache dhana kwamba Kila mwanamke aliezaa hawezi kuoleka au kuolewa. Wengi wao wakipata nafasi ya kuolewa huwa makini sana,
Mwisho nawashauri wanawake waangazie zaidi karia zao kuliko kufikiria kuolewa. ukiwa vizuri kiuchumi hakuna swala la single mom utalisikia na utachagua mtu wa kuwa nae.
 
Mkuu una Roho ngumu sana..... kwanza Hao wanaume wanaoshinda Sebleni kwake huku wanajifanya wamekuja kutazama watoto.....je wangekuwa wana wapenda watoto kwanini wasikae nao kwa kumuoa mama yake?
Hii dunia ina wanafiki wengi sana.

Huwezi kusema unamoenda mtoto harafu unamchukia Mama yao uliyelala kifuani mwake kuwapata watoto.
Hii misemo overrated mm dada zangu 2 single mother ni kweli nasikitika ila mada ni kweli ni mkosi wamejiletea .kuna mmoja alikaza mpaka 35 pamoja na udangaji wake saivi kawaacha hawa wawili watu wanakuja hadi jitambulisha wakisha mjua baba wa mtoto tu wanakula kona

Mi nammoja ninampenda kishenzi nkikaa nae we are just natural birds
Yaan hata nkitokanae mahali lazima atatokea mtu aseme asee mnaendana sana .shida ni kazaa 2 kids na wote washkaj zangu(tunakunywa nao kijiwe kimoja ) .jamaa hawaishi piga simu na mara niende kwake niwskute seblen wamekuja salimia mtoto .skuingine akasema nimsindikize harusi ya mdogo wake na mzazi mwenzie yaan nilikuwa naangaliwa kwa jicho na wanaume linasema Mwamba unafeli .
Juzi kati metafuta sababu nimepiga chini kamelia sana ila hamna njia kosa lake kuzaa kabla sijaja ndo malipo yake.kila la kher my crush
 
Mimi naona shida Iko kwetu wanaume. Kwasababu unajua Kabisa huwezi muoa kwanini uumpe mimba, Pili tuache dhana kwamba Kila mwanamke aliezaa hawezi kuoleka au kuolewa. Wengi wao wakipata nafasi ya kuolewa huwa makini sana,
Mwisho nawashauri wanawake waangazie zaidi karia zao kuliko kufikiria kuolewa. ukiwa vizuri kiuchumi hakuna swala la single mom utalisikia na utachagua mtu wa kuwa nae.
Umesoma uzi vizuri mkuu?

U single mother haigusii kabisa Swala la Hadhi ya mtu, kipato, elimu wala hali.
 
Ndugu Muhimbu.....Sijui unataka ku make point gani lakini kwa ujumla ikiwa Mwanaume anazaa na mwanamke ambaye hawezi kumuoa Automatically huyo Mwanaume sio Sahihi.
Point yangu ni kwamba changamoto nyingi ambazo single mothers wanakutana nazo zinatokana na wao kuelemewa na mzigo wa malezi... Na light kama mwanaume atashiriki kikamilifu kwenye malezi ya mtoto basi single mother huyo hawezi kukutana na hizi kadhia zinaongelewa humu na ataishi vizuri tu huku akifukuzana na ndoto zake bila kukwamishwa na purukushani za malezi.

Na pia ieleweke sio kila mwanamke au mwanaume ataingia kwenye ndoa, ila ni desire ya kila mwanadamu kuwa na mtoto
 
The one thing I thank God for ni kutozaa kabla ya ndoa nilikataa kwa nguvu zote nilikua natamani sana watoto walelewe na baba na mama na ukizaa nje ya ndoa kuna mawili akuoe au asikuoe
Wenzako wanasema eti mkishakuwa na kazi tu na uhakika wa kuingiza hela ya matumizi yako wewe na ya huyo mtoto basi inatosha na haina haja ya kuwa na huyo mwanaume... Hii imekaaje kwa upande wako?
 
Yaani kulea watoto wa mwanaume mwingine ndio majukumu yetu tunayopashwa kutimiza au tukueleweje?

Sijui labda haujaelewa tatizo hapa. Hawa mabinti huwa wanachagua kuruka na watu ambao hawana malengo ambao hawana mbele wala nyuma, mwanaume amejichora tattoo shingo nzima na mikononi, anasuka rasta, anavaa mlegezo yeye binti ndio anakwenda fanya nae ngono kwa usiri halafu anapata mtoto kisha unataka watoto wa kiume wenye akili timamu wenye maadili waje kulea huyo mtoto we dada upo serious kweli wewe?

Ina maana hawa mabinti hawajui tofauti ya mwanaume decent na muhuni?

Mbona inawachukua dakika chache kujua tofauti ya Mwanaume mwenye maisha mazuri na mwanaume asiye na maisha mazuri na kipato halafu ikuchukue mimba tatu za wanaume tofauti kujua tofauti ya baba bora wa familia na wanaume wanaozalisha na kutelekeza a.k.a wahuni?
Hawa dada zetu wengi hawajitambui
 
Mimi naona shida Iko kwetu wanaume. Kwasababu unajua Kabisa huwezi muoa kwanini uumpe mimba, Pili tuache dhana kwamba Kila mwanamke aliezaa hawezi kuoleka au kuolewa. Wengi wao wakipata nafasi ya kuolewa huwa makini sana,
Mwisho nawashauri wanawake waangazie zaidi karia zao kuliko kufikiria kuolewa. ukiwa vizuri kiuchumi hakuna swala la single mom utalisikia na utachagua mtu wa kuwa nae.
Mimba ni makubaliano ya wote wawili shida inakuja mwanamke anabeba mimba bila idhini ya mwanaume
 
Acheni hao mabinti wapumue jamani..kwani hizo mimba wanajibebesha wenyeweee?...Na nyie wanaume timizeni majukumu yenu na muache janja janja kuharibu mabinti za watuu...Etii oooh tuna wamwaga sababu ya tabia zaoo..Nyiee wanaume mna tabia nzurii?.Rudini kwenye maadili ya kiumee Kama baba zenu muone Kama hao single maza watakuwepoo...Uzinzi haufai kwa pande zote mbili umebebesha binti wa watu mimba oaa full stop
Changamoto ya hawa tunaosema masingle mother walio wengi sio kwamba hawakupata watu wakuwaoa walipata ,ila swaga nyingi sana za ujana wanataka mtu aliyetusua ndio wae nao katika mahusiano sasa ugumu una kuwa hapa ,hawa walio tusua nao wana familia zao,kinacho fuata nini kama sio kutiwa mimba na kuwa single mother.
 
NAKAZIA

Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa

Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa

Imagine singo maza na ni 30+
Wanaichakata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wanapaswa kujua kuwa kubeba mimba yapasa kuwa ridhaa ya wote mwanamke na Mwanaume,

Usitegeshe bila kutafuta ridhaa ya huyo Mwanaume.
Siamini kama mwanaume yeyote anataka kuzaa pia kabla ya ndoa huwa wanakimbelembele anafikili akizaa ndo amekushika .kumbea anageuka aloezaa anaeshindana sokoni na mademu wengine ambao hawajazaa.kajitangazia ushindi kabla vita haijaisha.Dada zangu mkitaka jua nguvu ya ndoa angalia asilimia 70 ya ndoa ambazo mwanamke anakutwa mgumba ndoani hawaachani anatafuta nje wajinga wa kuzaa bila ndoa anapiga watoto .akibahatika kupata kwa mkewe mtoto mmoja tu .siku ya urith kwenye usia nadhani utalia sana .kuna tajiri sinza kamuandikia mtoto wa ndoa ghorofa 2 na kampuni ya kukarabat magari.wale wa nje kawapa mil 300 .wajengewe kila mmoja nyumba wako wawili.afu huyu mke wa ndani awalipie ada ya shule hadi masters hata wakitaka nje .kimbuka hiyo account ina 1.2bil.mke kalamba inayobaki yote.
Hawa wake huwa ndo wafariji wa matajir na wanajua siri hata za utajir we ukidandia dada wanaume huwa wamoja tuna vikao vyetu
 
Umasikini upigwe vita sana.
Dada zetu wangekuwa na uwezo wasingesimangwa hivi kila siku.
Sio lazima uolewe..
Umeongea nini bosi wangu.mfano akizaa nje afu anaghorofa na vogi kijana anaejielewa hamuoi ataishia kulea mamarioo
 
Back
Top Bottom