Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika nyakati ngumu hutufunulia mambo mengi ya sirininilijifunza tu kuwa sina marafiki nina watu wengi nna watu tu nnaojuana nao
Kubadilika lazima si unajua wanawake..... unapaswa kupuuzia baadhi ya mambo ili upate amani ya moyo ukiwa unahangaikia mipango yakoDah pole shem akubadilika?
Pole sana ndugu.....Mungu akufanyie wepesiBado naendelea kujifunza, nipo kwenye hizo nyakati ngumu kipindi hiki...
Mungu ni mwema siku zote.... ubarikiwe sana ndugu yanguMe nilibaki kidogo sana si Kwa kujiua ila nilimwambia Mungu nichukue tu au uniondolee dhahma zilizokuwa zimenizunguka .Mungu alisimama asubuhi ...akanifuta machozi.....niliomboleza usiku kucha nalia sijawahi Lia mbele za Mungu hivyo.....Naposema asubuhi ni asubuhi nikiwa nimevimba macho Kwa kulia usiku then asubuhi nikapigiwa simu Moja ikabadili Kila kitu.......nashukuru Mungu.....Ndugu zangu wa damu hakuna aliyenitenga sijafika lkn angalau Sio mbaya....
Hakika ndugu yangu......kikubwa uzima tu📌Dunia inatufunza kuwa wabinafsi📌
Asante Ndugu, naamini haya ni mapito na ni sehemu ya kujifunza, naendelea kumuomba Mungu anipe moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki..Pole sana ndugu.....Mungu akufanyie wepesi
Kutoa pesa?Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Sijakuelewa ndugu yanguKutoa pesa?
Kama ni hivyo sawa.
Hakika ndugu ni mapito tu ya kidunia...... usikate tamaaAsante Ndugu, naamini haya ni mapito na ni sehemu ya kujifunza, naendelea kumuomba Mungu anipe moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki..
Umesema heshima ya M/Me ipo kwenye kutoa.....kutoa nini?Sijakuelewa ndugu yangu
Ahaaaa!!Umesema heshima ya M/Me ipo kwenye kutoa.....kutoa nini?
Hiki ndicho nilichojifunza. Usihangaike na mwanamke kipindi hicho.Kubadilika lazima si unajua wanawake..... unapaswa kupuuzia baadhi ya mambo ili upate amani ya moyo ukiwa unahangaikia mipango yako
Ulo sahihi, nilihisi kabisa mwanamke wangu ameanza kupoteza taste kwangu kisa sina mchongo kipindi kile. Nilitamani kumwacha ila nikasema navumilia labda aniache yeye, ila kama kumwacha ntakuja nimwache wakati niko vizuri.Ahaaaa!!
Kiasili mwanaume ni provider......inaweza kuwa hela, ulinzi, maneno mazuri.......ngono NK........
Mwanamume hapendwi kwa sababu ya uanamume wake bali kwa kile kinachotoka kwake...... daima mwanamke au jamii hutazamia kitu kutoka kwa mwanaume.......
Nilijifunza kuwa siku inaweza kuwa kama mwaka mzimaHabari za muda huu wapendwa.