Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

Me nilibaki kidogo sana si Kwa kujiua ila nilimwambia Mungu nichukue tu au uniondolee dhahma zilizokuwa zimenizunguka .Mungu alisimama asubuhi ...akanifuta machozi.....niliomboleza usiku kucha nalia sijawahi Lia mbele za Mungu hivyo.....Naposema asubuhi ni asubuhi nikiwa nimevimba macho Kwa kulia usiku then asubuhi nikapigiwa simu Moja ikabadili Kila kitu.......nashukuru Mungu.....Ndugu zangu wa damu hakuna aliyenitenga sijafika lkn angalau Sio mbaya....
 
Mungu ni mwema siku zote.... ubarikiwe sana ndugu yangu
 
Unaweza ukafa nyakati ngumu ukiwa bado hata haujazivuka na hukua na dalili ya kuzivuka.

Usikariri
 
Habari za muda huu wapendwa.

Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.

Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.

Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.

Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.

NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Kutoa pesa?
Kama ni hivyo sawa.
 
Umesema heshima ya M/Me ipo kwenye kutoa.....kutoa nini?
Ahaaaa!!

Kiasili mwanaume ni provider......inaweza kuwa hela, ulinzi, maneno mazuri.......ngono NK........

Mwanamume hapendwi kwa sababu ya uanamume wake bali kwa kile kinachotoka kwake...... daima mwanamke au jamii hutazamia kitu kutoka kwa mwanaume.......
 
Kubadilika lazima si unajua wanawake..... unapaswa kupuuzia baadhi ya mambo ili upate amani ya moyo ukiwa unahangaikia mipango yako
Hiki ndicho nilichojifunza. Usihangaike na mwanamke kipindi hicho.
Kuna siku nimempigia simu mwanamke wangu saa 5 asbh, hapo hatujawasiliana tangu jana yake usiku. Namuuliza mbona yupo kimya, na nilipiga hapatikani? Akanijibu kishujaa kwa ukali. "Bwana ee kwani we ulipiga nikawa sijapokea?" "Na mm nlikua nasubiri unipigie, kama hukupiga unanilaumu nini "
Maisha yangu yote ya kuwa naye takribani miaka 4 nyuma hajawahi kunikaripia na kunijibu namna hata siku 1.
Nilishusha presha nikasema sihangaiki naye kwanza. Afanye anavyotaka, mimi nahangaikia kujinasua toka kwenye hali yangu ya matatizo.
Nilipata amani
 
Ahaaaa!!

Kiasili mwanaume ni provider......inaweza kuwa hela, ulinzi, maneno mazuri.......ngono NK........

Mwanamume hapendwi kwa sababu ya uanamume wake bali kwa kile kinachotoka kwake...... daima mwanamke au jamii hutazamia kitu kutoka kwa mwanaume.......
Ulo sahihi, nilihisi kabisa mwanamke wangu ameanza kupoteza taste kwangu kisa sina mchongo kipindi kile. Nilitamani kumwacha ila nikasema navumilia labda aniache yeye, ila kama kumwacha ntakuja nimwache wakati niko vizuri.
 
Habari za muda huu wapendwa.

Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.

Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.

Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.

Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.

NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Nilijifunza kuwa siku inaweza kuwa kama mwaka mzima
 
Back
Top Bottom