KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #81
Hakika ndugu......msaada sio deniMtu kukusaidia si lazima hata kama uliwahi kumsaidia....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ndugu......msaada sio deniMtu kukusaidia si lazima hata kama uliwahi kumsaidia....
Ukishasoma nawe tupe mwongozo lo😊
Sikuwa naishi naye nyumba 1, akiishi mbali nami na wala sikuwa namtegemea kwa kila kitu. Kwa mfano nilikua najilisha mwenyewe na wakati huo huo nikampa pesa kama 1.1m aongezee mtaji ila kwa kuwa sikuwa na kazi maalum alikua hana imani kabisa.Unapopitia nyakati ngumu kiuchumi unatakiwa usilete unyonge nyumbani......sio unashinda tu nyumbani.....
Unatakiwa kwa muda huo ukiwa unasikilizia mambo yako........fanya kazi yoyote iliyo mbele yako ili uweze kutatua mambo madogo madogo hapo home..........
Mwanamke ni kiumbe dhaifu na muoga.....ukimuambia kuwa huna kazi akili yake inaogopa na anawaza mbali sana.....
Kwa mwanamke kutokuwa na kazi maalumu maana yake huna kaziSikuwa naishi naye nyumba 1, akiishi mbali nami na wala sikuwa namtegemea kwa kila kitu. Kwa mfano nilikua najilisha mwenyewe na wakati huo huo nikampa pesa kama 1.1m aongezee mtaji ila kwa kuwa sikuwa na kazi maalum alikua hana imani kabisa.
Sasa elfu 5 ndo umdai mwanamke??? Nyie kweli mnatafuta maishaaaHakika nimepata faraja, ila wanawake sijui ni viumbe wa aina gani?.
Nimeamka sina kitu zaidi ya 5000 mfukoni nikamwambia mwanamke kuwa sina kitu ila 5000 kaniomba hiyo 5000 akanunue mboga ya siku nyingine (siku hiyo ilikuwepo), kwa madai kuwa yeye ana hela atanipatia.
Imefika muda wa kuondoa chombo nikaweke mafuta niingie kutafuta riziki, namuomba pesa anasema "Hivi ni kweli huna pesa?, mimi nilijua unatania."
Yaani nilikasirika, kagundua akaniambia eti akauze ile mboga ili anirudishie pesa yangu, (si aibu hizi jamani?)
Nilimuangalia tu nikakaa kimya, kazurula karudi bila kitu anajichekecha chekesha tu, mimi nina hasira zangu hapo aiseee. 😥😥😥
Pole sana mkuu ilikuaje?Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..
Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..
Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi
kweli kabisa mkuuNimejifunza kuna wakati maisha yanakuchapa vilivyo then yanakuchagulia kazi ya kufanya.
msaada wa kweli, faraja ya kweli, ushindi wa kweli, watoka kwa Mungu, usitegemee wanadamu.Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.