Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Amezoea kudekezwa, jinsi alivyofikia hapo inafikirisha. Ndio maana anataka ichapishwe fomu moja.
Angefikaje hapo alipo kama angedekezwa? Unafikiri ni rahisi na jambo jepesi kufika hapo alipo? Wangapi wamejaribu na kupambana kwa nguvu zao zote lakini wameshindwa?

Kuhusu habari za Fomu moja ningependa kukwambia kuwa suala la ubunge na ugombea wake jimbo la Mbeya mjini halina mjadala na lulishafungwa ndani ya chama na kwa wana mbeya,.ambapo kauli ni moja tu kuwa ni dkt Tulia Acksoni Mwansasu pekee kuendelea kuliongoza jimbo la Mbeya mjini.
 
We jamaa wewe kila siku unatuletea uharo humu.
 
Nimejifunza kuku pakata
 
Una mawazo ya kijinga sana.
Kusema mtu kafanana na mama yake ni mawazo ya kijinga???

Nini hasa ilikuwa dhamira yako pale ulipopost hiyo picha?? Muonekano ni moja ya funzo mtu anaweza pata kwenye taswira.

Mheshimiwa Spika kafanana na mama yake, sasa huo ni ujinga basi inamaanisha hata wewe uliepost hiyo picha ni mjinga.
 

We jamaa mbona unafuatiliya maisha ya watu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…