Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Hoja yako nimeshajibu nashangaa wewe bado huelewi.sasa unataka nini tena.maana nimekwambia kuwa hayo unayoyasema na kuyapendekeza tayari yalishafanyika kitambo sana.
Usiruke post yangu imeuliza haya:

"Hujajibu swali, andiko lako limefanikisha nini hasa? Ulikuwa unalenga kupata nini hasa? Je, majibu haya ya wachangiaji ambayo kwa kiasi kikubwa ni hasi ndiyo ulikuwa umepania kuyapata juu ya mhusika mkuu wa andiko lako Spika Tulia?"

Jibu bwana Mwashambwa!
 
Sio Kila mtoto anapakatwa!kwani huyo mama mbona hapakati watoto wake wengine?we kuwa Hali Jojo mbe uone kama mama yako atakupakata,ukimpigia hata simu utasikia keshaanza usumbufu huyu nae!.....Tafuta mpunga baba
 
Mtoto kwa mama hakui.
 
Ata mimi mawe ya ephen nipigwe , mpka kufa ,bora ata wewe hayo mawe unashambuliwa na unapona ,mimi nataka niuwawe kabisa kwa ajili ya ephen 😊
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒMimi nimehiyari kubeba hata dhambi na makosa yote ya ephen.nimekubali kubeba mzigo wowote wa ephen,nimekubali kuteswa hadi mwisho bila kumkataa wala kumgeuka zaidi ya kusema mimi nipo tayari kwa lolote kwa ajili ya ephen.nimekubali na kuruhusu watu wanitukane matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika lakini asiwepo wa kumgusa ephen. ephen ndio mboni yangu .ni ephen ephen ephen kwangu.
 
Mkuu angalia usije ukajiua pale ambapo utaona ephen akipeperushwa kama njiwa manga ,yangu macho😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…