Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

Sina uwezo wa kucomment chochote, mana mm sijawahi toa kwa hata robo ya level yao,

Kikubwa nawapongeza wote, na kuomba Mungu atujalie moyo wa kutoa kwa wengine wenye shida, na awabariki wote kwa moyo wao
 
Foundatio ya Malisa ..... na foundatio ya Tulia. Kuna foundation zinakopesha ila hukopeshwi mpaka upeleke kwanza hela kama dhamana. Je huo sio utapeli na wizi wa dhahiri?
Malisa hana foundation ya kukopesha ila ni marafiki na wadau wameungana kutoa misaada tu kwa wahitaji na pale inapobidi watuma pesa inatumwa moja kwa moja kwa mhusika wala haipiti kwao. Hata hiyo nyumba imejengwa tu na watu. Unakuta anayeuza cement anatoa cement, fundi rangi yeye anasema atapiga rangi mwenye duka la rangi anatoa rangi, yani hapo ni ushirikiano wa watu kibao hadi muuza TV katoa tv na muuza furniture katoa furniture. Kuna mafundi wengine walitaka kujitolea sema wamekosa nafasi maana zilikuwa zishajaa. So, malisa hatoi mikopo ni vile alianza kuwa anahamasisha watu kucahngia wahitaji akaona waifanye iwe foundation kabisa.
 
Ahsante mkuu kwa kutofautisha pumba na mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…