Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi🤣🤣🤣 cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi🤣🤣
 
Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi[emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuu
 
Hamna kitu, mbinu wakitaka wanaangalia Games zotee, kwan sizipo??

Utopolooo ni uto kweli
 
1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
 
Sababu ya kutokwenda uwanjani iko wazi, tokea itokee hili janga la covid mashabiki wamepunguza kwenda viwanjani.
 
Back
Top Bottom