Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ukiwa kama shabiki wa soka, umejifunza nini kutoka kwenye bonanza la Simba Super Cup lililofikia kikomo leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni UTOPOLO uliochangamkaUkiwa kama shabiki wa soka, umejifunza nini kutoka kwenye bonanza la Simba Super Cup lililofikia kikomo leo?
Wakicheza hivi na kubadilisha izo chance na kuwa magoli watafika mbali sana.Simba atachukua Ligi na FA.
Kilabu bingwa ,simba atafika mbali.
Simba ni wakimataifa, kwanzia leo Utopolo wasijilinganishe na Simba
Hapana mkuuNimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi[emoji1787][emoji1787]
Mkuu subir tutaona ukwel, yani hata tukificha now haisaidii bora tuseme kama tunavyosema mdudu yupo wengine wakapinga, leo tukasikia mara mdudu katua familia ya malim huko zenji😆😆Kuna harufu ya ukweli kwa mbaaaaaaliiii
Uto mtasema sana..ila Simba sio saizi yenuSimba hawana tofauti na zigo la mavi.
Hamna kitu, mbinu wakitaka wanaangalia Games zotee, kwan sizipo??Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi[emoji1787][emoji1787]
Paka fc mwaka huu hamtatoka na point ata moja kwenye makundi😅Hamna kitu, mbinu wakitaka wanaangalia Games zotee, kwan sizipo??
Utopolooo ni uto kweli
Hahaha Utopolo... Simba mnyama mfalme wa mbuga, muziki wake ni wakucheza na Barc, PSG , B.MunichPaka fc mwaka huu hamtatoka na point ata moja kwenye makundi[emoji28]
Sababu ya kutokwenda uwanjani iko wazi, tokea itokee hili janga la covid mashabiki wamepunguza kwenda viwanjani.1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.