Umekula tunda gani leo?

Umekula tunda gani leo?

Chapisho la habari: Waazteki walitaja parachichi kutokana na neno linalomaanisha “korodani” walipozigundua mwaka wa 500 K.W.K. kwa sababu ya umbo lake na hukua katika jozi. Matunda haya yanatamaniwa kote ulimwenguni na kwa sababu ya uzuri za faida nyingi za kiafya.
20221206_114330.jpg
 
Amazing Passion Fruit Benefits - Passion fruits are known for their sweet taste and refreshing flavor, but there are a lot of passion fruit benefits too. They contain high levels of vitamin C, potassium, fiber, antioxidants, and other nutrients.
20221206_114739.jpg
 
Leo nilikula Apple after breakfast
 
Ndizi.
Napenda ndizi.
Ndizi za wiki naweza malizi kwa siku mbili.
 
Back
Top Bottom