Huyo Kilema mwenye wheel chair tayari ana siti yake, huyo sitahangaika naye.
Anayefuata ni mama kabeba mtoto, ntamchukua huyo mtoto nimpakate mimi huku mama mtoto akiendelea kushikilia bomba.
Huyo mwenye magongo nitamuacha asimame kama sehemu ya zoezi ili kujiimarisha vizuri misuli ya miguu.
Huyo Mzee nitamruka kwasababu uzee sio ugonjwa.
Huyo mjamzito sio ishu yangu, nitawaachia mitihani wanawake wenzake nione kiwango chao cha huruma maana wao ndio wanajua wakiwa kwenye situation hiyo nini wanakutana nacho.
Wakisipo mpa siti mwanamke mwenzake basi nitajua ujauzito sio ishu kubwa.