Mchafuu
New Member
- Feb 29, 2024
- 4
- 13
DATING RULE 01.
Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja.
Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa.
DATING RULE NUMBER 02.
Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni kuvunja sheria zake na kwao kwaajili yako.
Mipaka ikizidi haupendwi, abort mission.
DATING RULE 3.
Usifuate kila ushauri au kufanya mipango unayo pangwa na mwanamke wako.
Sometimes anaweza kukushauri kitu kizuri ila usifanye on the sport fanya kwa wakati au ulivyopanga wewe kama mwanaume.
DATING RULE NUMBER 4.
Heshima itangulie upendo ufuate.
Kama hawezi kukuheshimu basi hawezi kukupenda.
Hawezi kukupenda kama hakuheshimu.
Read between the lines.
DATING RULE NUMBER 5.
Usimu expose mwanamke wako wa kuaminia kwenye usasa kama haukumkuta in modern ways.
Akipata jua how modern ways zina operate hawi wako tena.