Utamu wake nini mzeya....kupigana risasi saba ama?NDOA tamu sana vijana oeni acheni utoto na visingizio...
Ebu tuambie tunachokosa na sie tuoate motisha ya kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu wake nini mzeya....kupigana risasi saba ama?NDOA tamu sana vijana oeni acheni utoto na visingizio...
Hizo risasi ndio utamu wenyeweUtamu wake nini mzeya....kupigana risasi saba ama?
Ebu tuambie tunachokosa na sie tuoate motisha ya kuoa
Kiufupi ndoa ni override wazipuuzie tu ndoa si lazimaWaoe ila wawe makin
Acha kufananisha bia na mambo ya ajabu, aya yako ya pili ni batili kabisa.Maisha ya ndoa yamewashinda lakini hamuishi kuwaongelea wanandoa.
Wewe ni mnywaji wa Soda lakini focus yako ipo kuwasema wanywa Bia, hapo mwenye matatizo ni nani ?