Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni mkuu?Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu🤣uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.😳
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.☹️ Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache🙄
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu🙄😏🤜
Mtoa mada atakuwa amapata fundisho tosha kabisa. Pia iwaendes wanawake wengine. Msiwasikilize hawa single maza....hawana soko so wanaishia kulia lia tuu maana kilichobakia kwao ni kugeggedwa na kutupwa kule🤣🤣🤣🤣🤣Ushauri kwa vibinti na wasichana wadogo ukisikiliza ushauri wa masingle mother na wewe jiandae kua single mother. Watakurubuni na kauli kama - "Maisha ya kugandana gandana yamepitwa na wakati, unajizalia watoto wako unalea kwa raha zako". Ukifuatana na kujenga urafiki na wanawake wawili walioachika wewe utakuja kua watatu kati yao.
Wanawake walioachika WANACHUKIA SANA KUWAONA WENZAO WAKIDUMU KATIKA NDOA. Watachomekea vimaneno kujenga uadui ili ndoa ivunjike wawe kama wao. Japo kweli ndoa nyingi za wakati huu zina mivutano,
ila utajiuliza mtoa mada na ndoa yake iliyovunjika pili pili ya shamba yamuwashia nini, na kwanini asizungumzie katika hali nutrual ila kaegemea kuwakatisha tamaa na kusisitiza ndoa zivunjike.
Ikumbukwe wanawake wanachukiana, kuona wenzake wanadumu katika ndoa hupata HASIRA NA KISISANI kikuu. Ikumbukwe pia furaha ya mwanamke ni kupendwa, kutunzwa na kulindwa HATA KAMA MWANAMKE NI MILLIONEA AU TRILLIONEA ILA NI NUNGAIYEMBE, HAWEZI KUA NA FURAHA ANATEMBEA KAMA MSUKULE TU, UPWEKE KAMA ZOMBIE sasa aone wenzake wana ndoa kamili anatamani waachike kama yeye wote wasote.
Wakiona mwanamke ana adabu, utii na heshima watamjaza maneno "wewe ni mjinga unaendeshwa, ona sisi tuko huru" ila ukweli ndani wanaungua kwa wivu mkali na chuki nzito.
Msemo wa kuelezea tabia, hulka na hari ya mtoa mada ni msemo wa kale: Sizitaki mbichi hizi. Hiyo ni baada ya kua hawezi kuzifikia au kuzipoteza ndizi ndio anaziitj mbichi.
Pole sana...😔wamempiga mguu anakozurura huko,anachechemea☹️
Kuna Kitu....au basi!Hatujielewi kama wanaume tu🙄
Kumbe muanzisha uzi hana ndoa ndio maana ana support divorce ili wanaoishi bila mahusiano ya ndoa waongezeke mitaani.Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu[emoji1787]uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.[emoji15]
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.[emoji3525] Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache[emoji849]
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu[emoji849][emoji57][emoji2936]
Maisha ya ndoa yamewashinda lakini hamuishi kuwaongelea wanandoa.Wengi wetu tusio ndoani sio wanafki huwa tunaongea lililo la kweli na tunaloamini ni suluhu hata kama ni gumu kwa wanandoa.
Lakini mwanandoa ni ngumu kumshauri mwanandoa mwenzie zaidi ya kuzido kutafuta suluhu ambazo mara nyingu hupelekea zogo tu.
Utaskia " Ooh vumilia hata mimi hilo lilinikuta ila sasa yameisha na tunaishi vizuri" kumbe ni uongo mtupu.
Unaishi kwa kujitesa kisa unaogopa watu ambao na wao wana yao mengi tu ?...ushamba huo.Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu🤣uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.😳
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.☹️ Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache🙄
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu🙄😏🤜
Ndio utulizane, kwa kweli sijapenda kabisa unavyo wahimiza wanawake wenzio waachike. Huo sio ushauri mzuriHa ha haa,sawa🤣
NDOA tamu sana vijana oeni acheni utoto na visingizio...Maisha ya ndoa yamewashinda lakini hamuishi kuwaongelea wanandoa.
Wewe ni mnywaji wa Soda lakini focus yako ipo kuwasema wanywa Bia, hapo mwenye matatizo ni nani ?
Mungu akubariki sana na ameshakusamehe dhambi zako zote kwa kutoa ukweli mchungu kama huuUshauri kwa vibinti na wasichana wadogo ukisikiliza ushauri wa masingle mother na wewe jiandae kua single mother. Watakurubuni na kauli kama - "Maisha ya kugandana gandana yamepitwa na wakati, unajizalia watoto wako unalea kwa raha zako". Ukifuatana na kujenga urafiki na wanawake wawili walioachika wewe utakuja kua watatu kati yao.