Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanisema kwa kuzunguuka sana mkuuHii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu[emoji1787]uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.[emoji15]
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.[emoji3525] Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache[emoji849]
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu[emoji849][emoji57][emoji2936]
Aisee kweli kabisa [emoji174]Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu[emoji1787]uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.[emoji15]
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.[emoji3525] Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache[emoji849]
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu[emoji849][emoji57][emoji2936]
Una tatizo lolote la kipesa? Naomba kujuaNambie mkuu
Heheh
Umesema ukweli mtupuKinachofanya mtu kung'ang'ania mwenzi mmoja ni umaskini tu wala Sio upendo yaani kubana matumizi!!Sio NDOA wala hofu ya kuchomwa Moto hukooo!!
Hata sheria ya NDOA ya mke MMOJA ni ya kubana matumizi ya kuhudumia wafanyakazi wa viwanda hasa kuwahamisha toka kiwanda kimoja Hadi kingine Ndio Maana ya nuclear family KIPINDI cha industrial revolution!!
Ni vile usawa unakaba tu pesa ya shida Sana!!ukipata pesa ya kutosha kuwa na mwenzi mmoja utaona ni ufala wa karne!!
Ni Basi tu!!!
Nilimpa za kutosha mwanzo, Ila kwa sasa nampaje?? Ni sawa na kula muwa uliotafunwaAliyekatwa kisimi umempa?
Niambie basi.....[emoji1787][emoji1787]Aisee,we jamaa wewe[emoji119]
Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu🤣uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.😳
Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.☹️ Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache🙄
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.
Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu🙄😏🤜