Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

1.stuka saa 11 au 12 asbh piganeni Cha asubuhi nyonya maziwa ya mke piga bao maisha yaendelee

2.saa moja oga nenda kazini kale vya kula km NI matunda,kitimoto au bia au konyagi au k vant n.k

3.rudi nyumbani zinguaneni ikifika usiku mkitamaniana peaneni

Ndo maisha

4..ingia jf Mara kwa Mara kutoa stress n.k
Hizo ndo route zako mkuu?
 
Uliyosema ni kweli..mke niliyeanza nae maisha tuliachana tatizo ilikua ni mm,ulevi,kipgo na uzinzi..gafla akasepa na kuanza maisha yake..nilikua nampenda sana ila ujana mwing..imepta miezi 6 nikaoa hapo ndipo nikaona umuhimu wa yule mke wa kwanza..vituko sio vituko kwa huyu mwanamke maana nilijilekebisha baada ya kukimbiwa,pombe niliacha,kupgna hakuna,ila yule mwanamke alikua msaliti,mbishi. Hapo ndio neno lako mtoa maada,niliogopa kumuacha kwa kuhofia jamii itanionaje lakn mwisho wa siku ikabdi mm nikimbie mji na kumwacha bila mwelekeo.
Ungemrudia wa kwanza
 
..MAAMUZI MAGUMU..

Haya ndio maamuzi pekee yanayofanya kuwe na utofauti kati ya Masikini na matajiri,,, wenye furaha na wenye huzuni,,,watendaji na walalamikaji,,,Majasiri na Waoga,,,,Wazalendo na walalamikaji...,,,Wachapakazi na Wavivu....Wanaume wa kweli na Ving'asti (marioo)....Wanaoheshimiwa na wanaodharauliwa...Wakusikilzwa au wakupuuzwa...

Hawa wote utofauti wao kuna sehemu mmoja alifanya maamuzi magumu(bila kujali nani atafikiria vipi),,na ndio akafika hapo alipofika.

Ukiweza kumudu kufanya Maamuzi magumu kwenye maisha yako,,, hakika utafanikiwa katika nyanja nyingi sana......

Otherwise FASLE.
Hakika mkuu
 
Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu[emoji1787]uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.[emoji15]

Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.[emoji3525] Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache[emoji849]
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.

Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu[emoji849][emoji57][emoji2936]
Pole kwayaliyokukuta nitakutafuta PM tuyajenge
 
Wanaume wa siku hizi hawana uvumilivu wanawake wa siku hizi hawana utii na heshima. Hii imepelekea moto kulipuka Sana kwenye ndoa. Ishi kwa kufumba macho siku ziende mda wako wa kuondoka duniani ufike uwaaachie wengine nafasi wanaozaliwa, maana sote tu wapangaji.
 
Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu[emoji1787]uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo kuwika.[emoji15]

Binadamu hubadilika bhana,tena hubadilika kuwa adui.Sasa watu badala ya kuachana wanaendelea kuvumilia,eti ndoa ya kanisani watu watasemaje au nikimwacha Mali tutagawana.[emoji3525] Wee bhana we...hata ukimwachia vyote ukajinusuru na kesi za mauaji kama mwanza embu mwachie vyote sepa.Nenda kaanze na mkeka.Kwanza kaburini hatuzikwi navyo viache[emoji849]
Watu kuongea ni kawaida,wanaongea yanapita.inakuwa ni kipindi Cha mpigo tu unasemwa wee,wanatulia.

Kuishi na mtu mzima asiyethamini ndoa inahitaji jitihada ya hali ya juu sana.Wewe unajitoa mhanga kuitunza ndoa Yako mwenzio kichwani anawaza hata akiniacha nitapata mwingine.Yaan maana yake alipo bado hajaridhika bado anasafari ndefu.Unamkumbatia hakumbatiki ....mwache aende,usiogope kitu,aibu fedheha tumeumbiwa na ndo maisha yenyewe.Watoto Mungu hulea tu popote ...mbona wengine tumekua ivoivo tu[emoji849][emoji57][emoji2936]
Umeandika kweli kabisa,lakini muhimu ni kusisitiza watu kuheshimiana ndani ya ndoa, na ikibidi watu waache kitafutiana makosa na kufanya mashindano (hii inazigharimu ndoa nyingi).

Na hii habari ya kurahisisha/kuona kuachana kuwa y la kawaida, inaliingiza taifa kwenye crisis kubwa sana, kuna madhara makubwa kuwa na taifa la watu wasio na misingi imara ya kifamilia, watoto wanaolelewa na mzazi mmoja kwa sehemu kubwa huwa wana mapungufu makubwa kwenye maeneo mengi, ukifuatilia vizuri wengi wanaoshindwa kuishi na wake/waume zao wamelelewa na single parents, au wameishi na baba/mama wa kambo!
Tusione KUACHANA kwa wanandoa kuwa jambo rahisi, ina madhara makubwa sanaaaa!
 
Asante sana Kwa message
 
Wanaume wa siku hizi hawana uvumilivu wanawake wa siku hizi hawana utii na heshima. Hii imepelekea moto kulipuka Sana kwenye ndoa.
Ishi kwa kufumba macho siku ziende mda wako wa kuondoka duniani ufike uwaaachie wengine nafasi wanaozaliwa, maana sote tu wapangaji.
Yaan ni shida
 
Back
Top Bottom