Wazazi mnakosea Sana mnawalea watoto wenu vibaya then wanaenda kuwa kero kwa wenzao. Mtoto yeyeto nyumbani ni mke au mme wa mtu so mzazi/ mlezi wake ndie atakaeamua hatima ya ndoa yake, kwa maana tabia ya mtu mzima utengenezwa kuanzia miaka 3 hadi 13 akishavuka hapo ujamtengeneza elewa umepeleka bomu kwenye ndoa. Maana pana watu wanatabia ngumu kuishi nao labda tu uwe Yesu ndo utamudu,shida ni malezi maana pana watu hawawezi kabisa kuishi na mtu wao ni vurugu,ugomvi,vita,ukali,hasira, ukosefu wa uvumilivu,matusi, ujuaji,nk,na shida ya tabia mbaya moja uvuta tabia mbaya zingine.
Ukipata bahati ya kupata mtu matured umepata vyote m