Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

tuanze na kubadili viapo vya ndoa mambo ya for better for worse ni undezi sana,japo sina mpango wa kuoa ila ikitokea me tamwambia bibie kipengele cha kula kiapo kisiwepo na hamna mambo ya kuvalishana pete,,sio wehu imetokea kwa wanandoa kadhaa na inawezekana nimeshuhudia
 
🤣🤣🤣Aisee
..MAAMUZI MAGUMU..

Haya ndio maamuzi pekee yanayofanya kuwe na utofauti kati ya Masikini na matajiri,,, wenye furaha na wenye huzuni,,,watendaji na walalamikaji,,,Majasiri na Waoga,,,,Wazalendo na walalamikaji...,,,Wachapakazi na Wavivu....Wanaume wa kweli na Ving'asti (marioo)....Wanaoheshimiwa na wanaodharauliwa...Wakusikilzwa au wakupuuzwa...

Hawa wote utofauti wao kuna sehemu mmoja alifanya maamuzi magumu(bila kujali nani atafikiria vipi),,na ndio akafika hapo alipofika.

Ukiweza kumudu kufanya Maamuzi magumu kwenye maisha yako,,, hakika utafanikiwa katika nyanja nyingi sana......

Otherwise FASLE.
 
Uliyosema ni kweli..mke niliyeanza nae maisha tuliachana tatizo ilikua ni mm,ulevi,kipgo na uzinzi..gafla akasepa na kuanza maisha yake..nilikua nampenda sana ila ujana mwing..imepta miezi 6 nikaoa hapo ndipo nikaona umuhimu wa yule mke wa kwanza..vituko sio vituko kwa huyu mwanamke maana nilijilekebisha baada ya kukimbiwa,pombe niliacha,kupgna hakuna,ila yule mwanamke alikua msaliti,mbishi. Hapo ndio neno lako mtoa maada,niliogopa kumuacha kwa kuhofia jamii itanionaje lakn mwisho wa siku ikabdi mm nikimbie mji na kumwacha bila mwelekeo.
 
Back
Top Bottom