Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

Maisha ya ndoa yamewashinda lakini hamuishi kuwaongelea wanandoa.

Wewe ni mnywaji wa Soda lakini focus yako ipo kuwasema wanywa Bia, hapo mwenye matatizo ni nani ?
Acha kufananisha bia na mambo ya ajabu, aya yako ya pili ni batili kabisa.

Huo ndo ukweli mchungu, kama kawaida yetu mabachela ni kutema cheche za moto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…