Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

1.stuka saa 11 au 12 asbh piganeni Cha asubuhi nyonya maziwa ya mke piga bao maisha yaendelee

2.saa moja oga nenda kazini kale vya kula km NI matunda,kitimoto au bia au konyagi au k vant n.k

3.rudi nyumbani zinguaneni ikifika usiku mkitamaniana peaneni

Ndo maisha

4..ingia jf Mara kwa Mara kutoa stress n.k
Ndo dawa🤣🤣🤣
 
Pole sana to yeye ! Mwache aende[emoji24][emoji24][emoji24]
Nikisema tusioane, tuhudumiane tu, tulipane, tuzaliane kwa mkataba, tulipishane tozo mnaniambia eti shule zinafunguliwa lini [emoji23][emoji23]
Kwa hali hii wacha kuoa nikuskie kwenye Bomba! Nikihitaji mtoto, test tube baby zipo, naenda kununua ovum ya Swalha napachika, natengeneza toto

kwishney! [emoji125][emoji125]
 
We si umesema uume unakusumbua umekua mzito,hawa watoto utapataje sasa😳🙄
 
Back
Top Bottom