Umeme na Nishati - Kenya

Umeme na Nishati - Kenya

Umeitisha evidence kwamba geothermal power ni baseload power. Ndio hii naweka evidence na usibadilishe goal post kama kawaida yako. Pata somo hapa chini.

Baseload energy - it’s always on: Geothermal power plants produce electricity consistently, running 24 hours a day, 7 days a week. The power output of a geothermal power plant is highly predictable and stable, thus facilitating energy planning with remarkable accuracy. Geothermal power plants are also an excellent means of meeting baseload energy demand, or the minimum level of demand on an electrical grid during a 24-hour period.

Kwa mengi zaidi fuata hapa:

Nakungojea ubadilishe goal post kama kawaida yako.
Halafu nimekuambia usilete terminologies ambazo huzijui hata maana yake.

Do you the meaning of baseload!?

Nuclear and coal ndio zenye baseload kubwa Mzee.

Screenshot_20210614-090145.png
 
Wewe ulipost mambo ya efficiency. Mimi nilikuwa nazungumzia mambo ya stability au kwa lugha nyingine availability. Efficiency na availability ni vitu viwili tofauti.
Sasa umejaribu kutafuta stability ya Geothermal ukajaribu compare na coal, nuclear, Gas na hydro ukaonaje!?
Mzee usipende kupiga kelele tu.
Niletee hiyo comparison btn Geothermal vs others tuione.

Usilete maneno ya kisiasa hapa. We are talking about science Mzee.

Science demands analytical proof.
 
akikujibu niite!
 
Sasa unapingana na hio website?
Hiyo website hawajaweka comparison Mzee. Wameweka tu sifa za hiyo Geothermal.
Ni kama kusema mpenzi wangu ana matako makubwa. Kumbe wapo wengine wanamatako zaidi yake.

Hatupo kwenye siasa hapa Mzee. Tunaongea science.
 
The availability factor of a power plant is the amount of time that it is able to produce electricity over a certain period, divided by the amount of the time in the period. Occasions where only partial capacity is available may or may not be deducted. Where they are deducted, the metric is titled equivalent availability factor (EAF). The availability factor should not be confused with the capacity factor. The capacity factor for a given period can never exceed the availability factor for the same period. The difference arises when the plant is run at less than full capacity, in which case the capacity factor is less than the availability factor.

The availability of a power plant varies greatly depending on the type of fuel, the design of the plant and how the plant is operated. Everything else being equal, plants that are run less frequently have higher availability factors because they require less maintenance and because more inspections and maintenance can be scheduled during idle time. Most thermal power stations, such as coal, geothermal and nuclear power plants, have availability factors between 70% and 90%.
 
Umehamia kwenye maintenance tena.
Hebu niambie kwa sentence fupi tu,
Kwanini duniani hawatumii sana Geothermal electric energy source!!?
 
Hiyo website hawajaweka comparison Mzee. Wameweka tu sifa za hiyo Geothermal.
Ni kama kusema mpenzi wangu ana matako makubwa. Kumbe wapo wengine wanamatako zaidi yake.

Hatupo kwenye siasa hapa Mzee. Tunaongea science.
Nimepata comparison of capacity factors by source. Nuclear pekee ndio imeshinda Geothermal kwenye capacity factor. Geothermal imeshinda hizo power sources zingine zote ikiwemo hydro na gas mnayopenda kutumia nyinyi. Na usipingane na hii data kwa sababu inatoka US Energy Information Administration ambayo ni body inayoheshimika duniani kote. Hii sio information uchwara.

Capacity factors by energy sourceEdit

United StatesEdit

According to the US Energy Information Administration (EIA), from 2013 to 2017 the capacity factors of utility-scale generators were as follows:[21]

Year
2013
2014
2015
2016
2017
2018
Non-fossil fuelsCoalNatural GasPetroleum Liquids
NuclearConv. HydroWindSolar PVSolar CSPLandfill Gas
and MSW
Other Biomass
including Wood
GeothermalCCCTSTICESTCTICE
89.9%38.9%32.4%NANA68.9%56.7%73.6%59.8%48.2%4.9%10.6%6.1%12.1%0.8%2.2%
91.7%37.3%34.0%25.9%19.8%68.9%58.9%74.0%61.1%48.3%5.2%10.4%8.5%12.5%1.1%1.4%
92.3%35.8%32.2%25.8%22.1%68.7%55.3%74.3%54.7%55.9%6.9%11.5%8.9%13.3%1.1%2.2%
92.3%38.2%34.5%25.1%22.2%69.7%55.6%73.9%53.3%55.5%8.3%12.4%9.6%11.5%1.1%2.6%
92.2%43.1%34.6%25.7%21.8%68.0%57.8%74.0%53.7%51.3%6.7%10.5%9.9%13.5%0.9%2.3%
92.6%42.8%37.4%26.1%23.6%73.3%49.3%77.3%54.0%57.6%11.8%13.7%NA13.9%2.5%NA
 
Mzee hebu tulia kwanza.
Tulikuwa tunaongelea stability
Ukahamia kwenye maintenance
Sasa hivi unaongelea capacity!?

Niambie kwanini duniani hawatumii Geothermal as a source of electric energy!?
Screenshot_20210613-195136.png

Geothermal imewekwa kwenye others.
 
Mzee hebu tulia kwanza.
Tulikuwa tunaongelea stability
Ukahamia kwenye maintenance
Sasa hivi unaongelea capacity!?

Niambie kwanini duniani hawatumii Geothermal as a source of electric energy!?
View attachment 1818200

Geothermal imewekwa kwenye others.
Kuna sababu nyingi mbona geothermal haitumiki. Kwanza kuchimba visima vya geothermal power ni mchezo wa pata potea. Ni mchezo wa kubahatisha. Unaweza kuchimba kisima kisha kikose kuwa na joto la kutosha. Hapo utakuwa umepata hasara kubwa kwa sababu bei ya kuchimba kisima kimoja ni around ksh 300 million kulingana na Kengen. Hii ni around $3 million kwa kila shimo. Sasa uchimbaji wenyewe una risk mkubwa kwa sababu unaweza kufanya geophysical survey na ikakuonyesha kwamba kuna joto lakini ukachimba shimo na kupata kwamba hakina joto la kutosha.

La pili ni kwamba kuna maeneo machache tu ambayo yana joto la ardhi. Sana sana katika Dormant au active Volcanoes, au rift valley systems. Lakini kwa sababu hatuwezi kuchimba kwenye active volcanoes inabidi tuchimbe kwenye dormant volcanoes. Nchi nyingi hazina volcanoes au rift valley systems ambapo matle ya earth ipo karibu na earth surface. Tanzania mna geothermal kwa sababu mna rift valley system na pengine mna dormant volcanoes kadhaa mnazoweza kuchimba.

Tatu ni kuwa uchimbaji wenyewe na ujenzi wa powerplant unachukua muda mrefu sana. Uchimbaji wa shimo moja kuanzia kuprepare site hadi kuassemble rig hadi kuchimba unaweza kuchukua 3 months upto 6 months. Shimo moja inaweza kuproduce 2 MW hadi 5 MW. Na hio ni shimo moja tu. Kulingana na ukubwa wa powerplant unahitaji kuchimba kuanzia shimo tano hadi hata thelathini. Hio itachukua miaka nyingi kuchimba. Ujenzi wa powerplant wenyewe unachukua miaka miwili hadi mitatu. In total inaweza kuchukua hata miaka mitano au zaidi kuzindua powerplant moja. Ila strategy ambayo Kengen inatumia ni kwamba wao wanachimba mashimo mengi in advance na kuyafunika na kungoja siku za usoni zitakapohitajika. Sasa hivi Kengen imechimba zaidi ya mashimo 300 na inatumia baadhi yao kuzalisha umeme na imeziba zingine kwa matumizi ya baadaye

Nne ni kwamba uchimbaji na ujenzi unahitaji pesa nyingi. Lakini pia kuna mikopo ambazo nchi inaweza kukopa ili kufanikisha ujenzi. Kenya tumekopa sana Jica (Shirika la Japan la maendeleo) ili kufanikisha ujenzi wa viwanda vya geothermal. Bila ukopeshaji huu kutoka Japan basi hatungeweza kujenga geothermal powerplants. Japan hawakutupatia pesa tu bali maarifa na skills transfer. In the 1970s na 80s engineers wa Japan ndio walitrain engineers wetu jinsi ya kufanya geophysical surveys na jinsi ya kuchimba visima vya jotoardhi.

Tano ni kuwa nchi zingine zina other alternative power sources. Kwa mfano nyinyi mna gas kwa hivyo hamna haja ya kujenga geothermal.
 
Mzee sababu kubwa ni:-
1. Geothermal energy runs the risk of triggering earthquakes.

2. Expensive resource to tap into, with high upfront costs ranging from around $2-$7 million for a plant with a 1 megawatt capacity.

3. One major concern around geothermal energy, as articulated by GreenMatch, is in regards to its extraction — often, the extraction of geothermal energy “leads to a release of greenhouse gases like hydrogen sulfide, carbon dioxide, methane and ammonia.”
 
Jifunze science kwanza.
 
Nakuongezea hiki kitu.
Screenshot_20210614-113830.png
 
Mzee sababu kubwa ni:-
1. Geothermal energy runs the risk of triggering earthquakes.

2. Expensive resource to tap into, with high upfront costs ranging from around $2-$7 million for a plant with a 1 megawatt capacity.

3. One major concern around geothermal energy, as articulated by GreenMatch, is in regards to its extraction — often, the extraction of geothermal energy “leads to a release of greenhouse gases like hydrogen sulfide, carbon dioxide, methane and ammonia.”
Point number 3 is Bullsh*t
 
Duh!! Kwahiyo umeanza kuuona ukweli kuwa ni bullshit!!😳😳🤔🤔
Sasa niambie kwa hizo points zangu ni gani wrong? Au wewe ulikua unaongezea tu? Kama ni hivyo asante kwa kuongezea. Kuna sababu nyingi hata zaidi ya kumi mbona geothermal haitumiki sana.
 
Back
Top Bottom