Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).

Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??

Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
 
Manispqa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).

Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??

Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
Asnte sna salary sleep no Kweli Niko ihuma jeshini hkn umeme kote mji mzima hkuna umeme na rais yupo chamwino na waziri mku yupo swaswa makamu yupo HV tukifamiwa na na maadui itakuaje
 
Back
Top Bottom